MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Makumbuli: Tunapinga kilimo cha bangi na mirungi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Makumbuli: Tunapinga kilimo cha bangi na mirungi
Habari

Makumbuli: Tunapinga kilimo cha bangi na mirungi

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, inawakaribisha wananchi kwa ajili ya kupata elimu kuhusu dawa za kulevya aina ya mirungi na bangi ambazo zimekuwa zikilimwa katika maeneo mbalimbali nchini.
Kamishna Msaidizi wa Kinga na Huduma za Jamii katika Mamlaka hiyo, Moza Makumbuli ametoa mwaliko huo katika maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi  yanayoendelea Viwanja vya Nziguni, Dodoma.
Amesema mbali na bangi na mirungi pia wapo kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu dawa za kulevya za aina nyingine mbalimbali ikiwemo cocaine na heroine.
Amesema katika maonesho hayo mamlaka hiyo inahusika kwa kuwa kuna baadhi ya dawa za kulevya zinatokana na kilimo haramu zinazolimwa hapa nchini zikiwiwemo bangi na mirungi.
“Tumekuja na mbangi wenyewe. Tunapinga kilimo cha bangi. Hivyo tumeleta sampuli za dawa mbalimbali za kulevya ili watu wazitambue na kutoa taarifa,” amesema.
Amesema kwa Tanzania bangi inalimwa katika maeneo mengi, inapelekwa mpaka nje ya nchi, na kutaja maeneo yanayoongoza kwa kilimo hicho kuwa ni Mara, Arusha, Tabora na Pwani.
“Same mkoani Kilimanjaro ni makao makuu ya kuzalisha mirungi. Nasi hatutachoka kuelimisha wananchi kuwa kilimo hicho ni haramu,” amesema.

You Might Also Like

Rais Samia Awatega Wateule Wake

OCMS Kuleta Usawa na Haki Kwa Wafanyakazi

Sera mpya ya biashara irahisishe ufanyaji biashara

Waajiri Wasilisheni Michango Kwa Wakati

Ajali Yakatisha Maisha Ya Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji TANESCO, Dereva Wake 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article  Rais Samia aipongeza REA
Next Article Kampeni ya Mama Samia imewafikia zaidi ya watu 4000 mikoa saba
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

JAB Yatoa Mwezi Moja Kuthibitishwa, kupewa vitabulisho
Habari May 22, 2025
Hali Ya Ulinzi Na Usalama Wa Mipaka Ni Salama
Habari May 22, 2025
Ulega Ataka Ushirikiano Miradi Ya Kimkakati Ikamilike Kwa Wakati
Habari May 22, 2025
Aloe Dorotheae, Mmea Unaopatikana Tanzania Pekee
Habari May 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?