MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Shirika La Uzalishaji Mali La Polisi Kujenga Vituo Vya Ukaguzi Wa Vyombo Vya Moto
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Shirika La Uzalishaji Mali La Polisi Kujenga Vituo Vya Ukaguzi Wa Vyombo Vya Moto
Habari

Shirika La Uzalishaji Mali La Polisi Kujenga Vituo Vya Ukaguzi Wa Vyombo Vya Moto

Author
By Author
Share
3 Min Read

Na  Lucy Lyatuu
SHIRIKA La Uzalishaji Mali La Jeshi La Polisi Tanzania limeeleza kuwa na.mkakati wa lazima wa ukaguzi wa vyombo vya moto.mradi ambao ni mkubwa ukihusisha kujenga vituo vya ukaguzi wa vyombo vya moto vya kisasa nchi nzima.

Ofisa Uhusiano wa Shirika hilo,Mrakibu Msaidizi wa Polisi Lule Mlay amesema hayo wakati akizungumza katika banda la shirika hilo lililoko katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam na kuongeza kuwa ni mara ya kwanza kwa Shirika hilo kushiriki maonesho ya biashara ya 50 ya kimataifa maarufu kama sabasaba kwa ajili ya kuonesha miradi mbalimbali inayotekelezwa.

Habari Picha 12745

Amesema mradi mwingine wa kimkakati utakaotarajiwa kuanza ni wa miji salama ambapo shirikanlitashirikiana na serikali kujenga kamera za kisasa kwenye miji mikubwa mitatu ambayo ni Arusha,Dar es Salàm na Dodoma ili kukabiliana na vitendo vya kihalifu.

Amesema lakini pia shirika lina mradi wa kimkakati wa kufunga kamera za kiusalama kwenye barabara kuu ambapk itashirikiana na Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani ili kuangalia wanaofanya makosa ya uvunjifu wa sheria ya usalama barabarani.

“Kwa kuanzia zitajengwa kamera kuanzia daraja la John Kijazi Interchange mpaka Dodoma,” amesema na kuongeza kuwa mradi mwingine ni wa ushonaji wa nguo,ambapo shirika linashona sare za kampuni za serikali pamoja na kampuni ninafsi zikiwemo za ulinzi.

Habari Picha 12746

“Kwa sasa tunafanya kazi na wenzetu Polisi Wasaidizi wa Chuo Kikuu chabDarnes Salam lakini tunafanya kazi na Jeshinla Magereza,Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),” amesema na kuongeza mradi mwingine ni kupitia kampuni ya ulknzinyabJeshi la Polisi (URA) kutoa huduma ya ulinzi

Mlay amesema kwa sasa wanalinda Shirikanla Masoko la Kariakoo Dar es Salaam pia kagika vituo vyote vya mwendokasi DART,pia katika maonesho hayo ya sabasaba wanafanya kazi.

Habari Picha 12747

Kwa upande wake Koplo Issa Godwin amesema katika maonesho hayo wamekuja kuonesha mradi wa shirika wa kutoa mafunzo kwa kampuni za ulinzi binafsi,mafunzo sahihi ya silaha lakini mradi mwingine ni wa huduma za kibandari.
“Ieleweke kuwa asilimia 60 ya wafanyakazi wa bandari ni wa kutwa hivyo mi muhimu kupata huduma,” amesema na kuongeza kywa kuna mradi wa usafirishajibwa fedha na vitu vya thamani na kuwataka watanzania kutumia shirika hilo kwa huduma mbalimbali.

Habari Picha 12748

You Might Also Like

Ridhiwani Aongoza Waliojiajiri Kujiunga, Kuweka Akiba NSSF

REA Yatoa Milioni 38.2 kwa ajili ya kufungwa mfumo wa nishati safi, Shule ya Samia

Samia Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu ALAT

Mnyororo wa Biashara Kariakoo Unafanywa Na Wageni

Vipaumbele Vilivyopo Kwenye Mpango Wa Maendeleo Vitafsiriwe – Majaliwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Watumishi 7881 Watakaostaafu 2026/27 Watambuliwa Kupitia Kampeni Ya Tunalipa Jana-PSSF
Next Article Ziwa Ngozi Lavuta Mamia Sabasaba, Wageni Washangazwa Na Ramani Ya Afrika Juu Ya Mlima
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Ziwa Ngozi Lavuta Mamia Sabasaba, Wageni Washangazwa Na Ramani Ya Afrika Juu Ya Mlima
Habari July 9, 2026
Watumishi 7881 Watakaostaafu 2026/27 Watambuliwa Kupitia Kampeni Ya Tunalipa Jana-PSSF
Uncategorized July 8, 2026
Katambi Apongeza Zimamoto Kwa Uwekezaji Wa Vifaa Vya Kisasa
Uncategorized July 7, 2026
Uwekezaji wa Vijana Watajwa Chachu ya Ukuaji wa Uchumi
Habari June 29, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?