MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Randama Ya Maji 2026/27 Yaidhinishwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Randama Ya Maji 2026/27 Yaidhinishwa
Habari

Randama Ya Maji 2026/27 Yaidhinishwa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DODOMA:  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imeidhinisha Randama ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2026/2027.
Randama hiyo imejadiliwa na wajumbe wa kamati hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Jackson Kiswaga, katika kikao kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma.
Akiwasilisha randama hiyo kwa niaba ya Waziri wa Maji, Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango na Bajeti wa Wizara hiyo, Tedy Mwaijumba, amesema kuwa randama hiyo imeainisha makadirio ya mapato na matumizi pamoja na vipaumbele vya wizara kwa mwaka ujao wa fedha.
Ametaja baadhi ya vipaumbele hivyo kuwa ni pamoja na kuendelea na utekelezaji wa miradi ya maji ya vijiji 867, ujenzi wa mabwawa 35, na miradi 220 ya maji mijini.
Vipaumbele vingine ni kuendeleza mradi wa kimkakati wa Mpango wa Mtandao wa Taifa wa Usambazaji Maji (Gridi ya Maji ya Taifa), kuimarisha usimamizi wa rasilimali za maji, pamoja na kuongeza uendelevu wa huduma za maji na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Aidha, wizara imepanga kupunguza upotevu wa maji, kuendeleza vyanzo mbadala vya fedha kwa ajili ya miradi ya maji, pamoja na kuimarisha taasisi zilizo chini ya wizara hiyo na mfumo wa uratibu wa utekelezaji wa miradi.
Kuidhinishwa kwa randama hiyo kunatoa fursa kwa Wizara ya Maji kuandaa hotuba ya bajeti ya mwaka 2026/2027 itakayowasilishwa katika Bunge la Bajeti.
Akizungumza baada ya kuidhinishwa kwa randama hiyo, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameishukuru kamati hiyo kwa ushirikiano wake na kuahidi kuwa wizara itazingatia maoni yaliyotolewa katika kuandaa hotuba ya bajeti.

You Might Also Like

BRELA Yatwaa Tuzo Sabasaba

Erio atoa elimu ya bidhaa bandia kwenye mabanda nanenane

Rais Samia Awakumbuka Wazazi Wanaojifungua Watoto Njiti

Vijana Ni Chachu Ya Maendeleo Endelevu Wakiwezeshwa-Kikwete

Serikali kushirikiana na Wadau usimamizi Taka za Plastiki

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article PBPA Yaagizwa Kuharakisha Upokeaji Na Usambazaji Wa Mafuta Nchini
Next Article Italia Yahimiza Ubunifu Wa Bidhaa Za  Sanaa Za Vioo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Upungufu wa Wataalamu wa Ustawi wa Jamii Wachangia Changamoto Kwenye Huduma za Jamii
Habari March 28, 2026
Italia Yahimiza Ubunifu Wa Bidhaa Za  Sanaa Za Vioo
Habari March 28, 2026
PBPA Yaagizwa Kuharakisha Upokeaji Na Usambazaji Wa Mafuta Nchini
Habari March 26, 2026
UNFPA,Wadau Washauri Kuimarisha Usalama Wa Kidigitali Kukabiliana na Ukatili Wa Jinsia Mtandaoni
Habari March 26, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?