MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Jamii Yaaswa Kujenga Utamaduni wa Kusoma Vitabu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Jamii Yaaswa Kujenga Utamaduni wa Kusoma Vitabu
Habari

Jamii Yaaswa Kujenga Utamaduni wa Kusoma Vitabu

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Hellen Stanslaus
DAR ES SALAAM: JAMII imeaswa kujikita katika usomaji wa vitabu ili kujiongezea maarifa zaidi.
Rai hiyo imetolewa Novemba 19 Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Chama cha Wachapishaji wa Vitabu(PATA) Hermes Damian alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maonyesho ya vitabu yatakayofanyika kuanzia Novemba 21 hadi 26.
“Jamii ijikite katika usoamaji wa vitabu ili kujiongezea maarifa zaidi, kwa wiki soma kurasa tano za kitabu utakuwa mwingine kabisa
“Tuwe wajenzi wa taifa tunalotaka kwa kufanya jitihada za kuhakikisha tunakuwa na morari ya kuwajenga pia watoto na vijana wetu katika usomaji,” amesema Hermes.
Ameeleza kuwa kitabu ni suluhu ya mambo mengi na kwamba maonyesho hayo ya 32 ya Kimataifa ya vitabu ni fursa ya kuiambia dunia kuwa Tanzania ina maarifa lukuki.
Naye Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Huduma za Maktaba Nchini(TLSB) Dkt. Mboni Ruzegea amesema lengo la maonyesho hayo ya vitabu ni kunadi historia ya lugha na tunu ya taifa kupitia kazi za waandishi nchini,
Kuonyesha umma utajiri wa maandishi, utamaduni, Sanaa na  historia kama taifa, kuhamasisha jamii kuhusu usomaji wa vitabu ili kupanua maarifa na fikra.
“Tunazo taarifa kwamba  kuna machapisho mengi  yapo lakini hayajulini hivyo maonyesho haya yatatumika kama jukwaa la kuwezesha haya na mengine,” amesema Dk. Ruzegea.
Ameweka wazi kwamba hivi sasa usomaji wa vitabu duniani uko mbele kwani mambo mengi yanafanyika Kidijitali hivyo kama nchi tusipokuwa makini tutaachwa nyuma.
Ameiasa jamii ihakikishe inatumia maonyesho hayo kwa manufaa yao na taifa. Kauli mbiu ya maonyesho hayo yatakayowashirikisha washiriki kutoka ndani na nje ya nchi ni maktaba ya kesho leo.

You Might Also Like

Dirisha  La Udahili Awamu Ya Pili Lafunguliwa-TCU

Theluthi mbili ya nguvu kazi ya taifa ipo kwenye kilimo

Rais Samia Afungua Barabara Ya Mbinga-Mbamba Bay Yenye Km 66-Ruvuma

Kamishna TRA Atua Kwa Malasusa Kushirikiana Elimu Kwa Mlipa Kodi

SADC Yasisitizwa Kuhusu Safari ya Ukombozi wa Kiuchumi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Madiwani  Saidieni Wananchi Njia Sahihi Ya  Kutoa Taarifa Za Hitilafu Za Umeme-Mpogolo
Next Article Ndejembi Akabidhiwa Ofisi Na Dkt. Biteko Aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu Na Waziri Wa Nishati
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?