MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wananchi wahamasishwa kuandika historia mpya kupitia kura
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wananchi wahamasishwa kuandika historia mpya kupitia kura
Habari

Wananchi wahamasishwa kuandika historia mpya kupitia kura

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
BARIADI VIJIJINI: MGOMBEA urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim, amewataka wananchi wa Bariadi kujitokeza kwa wingi kupiga ‘kura ya ukombozi wa hasira’ ifikapo Oktoba 29, mwaka huu.
Akihutubia mkutano wa kampeni za lala salama, Mwalim amesema kura hiyo ndiyo suluhisho la changamoto zinazowakabili wananchi, ikiwemo matatizo ya huduma za afya, bei ya pamba na hali ngumu ya wafugaji.
Habari Picha 10197
“Acheni kukumbatia CCM. Nendeni mkapige kura ya ukombozi wa hasira kwa CHAUMMA ili msije kujutia maamuzi yenu,” amesema Mwalim.
Ameongeza kuwa wananchi wasipofanya maamuzi sahihi mwaka huu, atarejea mwakani kuuliza kama wamekomboa maisha yao au wameendelea kuteseka kwa kukibakiza madarakani chama kilichosababisha umaskini wao.
Mwalim pia amelaani vitendo vya uonevu vinavyowakumba wananchi katika maeneo yaliyopakana na hifadhi, pamoja na kukamatwa holela kwa vijana, akisisitiza kuwa mabadiliko hayo yanawezekana tu kupitia kura ya Oktoba 29, mwaka huu 2025.

You Might Also Like

Viongozi Bora Hujenga Mazingira Wezeshi Kwa Wahadhiri – Profesa Nombo

Ridhiwani Aipongeza EWURA kwa Utoaji wa Huduma kwa Wananchi

TPDC  Yaibuka Mshindi Sabasaba Yapata Tuzo Ya Tano

VETA Shinyanga Waja Na Mafunzo Ya Saluni, Mapambo, Urembo

Wananchi Washauriwa Kujiunga Na Chuo Cha Ualimu Na Ufundi Stadi Morogoro

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Shibuda: WanaMaswa jitokezeni kupiga kura bila woga
Next Article Elimu Ya Nishati Safi Ya Kupikia Yawafikia Maofisa Dawati Ngazi Ya Mikoa Na Halmashauri
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TTCL  Yatumia Tamasha La Kizimkazi Kueleza  Wananchi Fursa Wanazotoa
Makala August 15, 2026
Rais Samia Afurahishwa Na Huduma za NSSF
Habari August 13, 2026
  VETA Yashiriki Tamasha La Kizimkazi
Habari August 13, 2026
Vijana Watakiwa Kuanza Utekelezaji Wa Mipango Waliyonayo
Habari August 12, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?