MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Watu Milioni 300 Afrika Kutumia Nishati Ya Umeme Ifikapi 2030-Biteko
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Watu Milioni 300 Afrika Kutumia Nishati Ya Umeme Ifikapi 2030-Biteko
Habari

Watu Milioni 300 Afrika Kutumia Nishati Ya Umeme Ifikapi 2030-Biteko

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

NAIBU  Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema ifikapo mwaka 2030 watu milioni 300 katika Bara la Afrika watakuwa wanatumia Nishati ya umeme.

Amesema  juhudi zinazofanyika katika kufikia lengo hilo zimesababisha  Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Benki ya Dunia (WB) kuunga mkono Tanzania katika miradi mbalimbali ikiwemo  Ajenda ya Nishati Safi ya kupikia.

Biteko amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Majadiliano kuhusu Masuala ya Nishati  kwa Bara la Afrika kwa ngazi ya Mawaziri unaofanyika Jijini Dar es salaam kwa siku mbili ulioandaliwa  na Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na AfDB.

Amesema AfDB imeichagua Tanzania kufanya mkutano huo wa majadiliano kwa kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa kimaendeleo na mafanikio katika Sekta ya Nishati ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika zinazoshirikiana na benki hiyo na imekuwa mfano wa kuigwa na nchi hizo..

You Might Also Like

Wagonjwa wa Magonjwa Yasiyoambukiza waongezeka Temeke

Vijana Wahimizwa Kuweka Akiba

Mwalunenge Kuunganisha Mbeya Mjini, Kusukuma Maendeleo Na Ajira Kwa Vijana

Rais Samia Awateua Tido Mhando, Machumu Na Nyalandu

Halmashauri Zahimizwa Kujenga Viwanda Vya Michezo.

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Jaffo :Wafanyabiashara Tanzania, Iran watakiwa kushirikiana kwa pamoja katika Biashara, Uwekezaji
Next Article Majaliwa Amwakilisha Rais Samia Kilele Kongamano la TEHAMA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?