MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Watu Wenye Ulemavu Nchini Wafikia Mil 5.3
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Watu Wenye Ulemavu Nchini Wafikia Mil 5.3
Habari

Watu Wenye Ulemavu Nchini Wafikia Mil 5.3

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu, Dodoma
KATIKA kuadhimisha siku ya mashine za nukta nundu(Breli), serikali imesema watu wenye ulemavu nchini wanakadiriwa kufikia mil 5.3 huku  idadi kubwa wakiwa ni wenye ulemavu wa kuona.
Naibu Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge, Uratibu na Wenye Ulema) Ummy Nderiananga amesema hayo leo jijini hapa wakati akizungumzia maadhimisho ya Kimataifa ya Breli ambapo  kitaifa kwa Tanzania yatafanyika  leo Februari 12 2026 katika mkoa wa Tanga.
Nderianaga amesema hayo wakati akimwakilisha Waziri wa Ofisi hiyo,William Lukuvi na kuongeza kuwa pamoja na idadi hiyo ya wenye ulemavu tofautitofauti lakini wale wasioona serikali imewamefikia kwa kiwango kikubwa kwa kuwapa vifaa na vitendea kazi mbalimbali hususani waliopo shuleni.
Habari Picha 11217
“Kwa wasio shuleni serikali imeweza kuwafikia kwa huduma mbalimbali kupitia program nyingine ikiwemo za TASaF, ” Amesema Waziri huyo na kuongeza kuwa  mashine za Breli zimekuwa zikiwafkia watoto kuanzia ngazi ya chini ili wajue kutumia vifaa hivyo kupitia ngazi mbalimbali zo hayo amesema yatahusisha shughuli mbalimbali ikiwemoikiwhsho ya teknolojia na kazi za wasioona, upimaji wa elimu na ujuzi wa wasioona.
Amesema Kongamano la wadau na jamii ya wasioona, Shughuli za burudani na hotuba za viongozi wa Serikali na wadau zitatolewa.
Kauli mbiu ya maadhimisho  hayo ni “Teknolojia ya Breli Husaidia Kuchochea Maendeleo kwa Wasioona na Ujenzi wa Taifa”.  ambapo Kauli mbiu hiyo inamaanisha kwamba teknolojia ya Breli inawawezesha Watu wasioona kushiriki kikamilifu katika nyanja zote za maisha (kijamii, kiuchumi, kisiasa na kiteknolojia), na hivyo kuchangia maendeleo yao binafsi na ya taifa kwa ujumla.
Kwa upande wake, Katibu Wa Chama Cha Wasioona, Mkoa wa Dodoma, Enock Mbawa amesema  ushiriki wa kundi  hilo katika nyanja mbalimbali husaidia kufikisha sauti zao.
Aidha ameiomba serikali kuwashirikisha katika program mbalimbali lakini pia wasisahaulike katika kupata vifaa vitakavyowawezesha kufanikisha majukumu yao  ya kila siku.
Kadhalika aliishauri jamii kuwapeleka shule watoto wenye ulemavu
Kwa kuwa vifaa vya kujifunzia vipo.
.

You Might Also Like

Tanzania Kuwa Mwenyeji Wa Mkutano Wa Petroli Afrika

TAFIRI Wakabiliana Na Mabadiliko Ya Tabianchi

CCCC Yaandaa Tamasha La Dragon Boat

Katambi Aitaka NDC Kuleta Mapinduzi Makubwa Ya Viwanda

TPHPA yafundisha namna sahihi ya utumiaji wa viuatilifu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article MAIPAC Yasisitiza Maadili Na Usalama Kwa Waandishi Wa Habari
Next Article Mwelekeo Mpya wa Viwanda: Safari ya Siku 100 za Mageuzi ya Kiuchumi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mavunde: Makaa ya Mawe Ni Injini ya Maendeleo ya Viwanda
Habari March 30, 2026
Programu Mpya ya TPHPA Yalenga Usalama wa Mazao Sokoni
Habari March 30, 2026
CHAKUHAWATA Yaimarisha Ulinzi wa Haki za Walimu, Yafikia Wanachama 49,750
Habari March 29, 2026
Upungufu wa Wataalamu wa Ustawi wa Jamii Wachangia Changamoto Kwenye Huduma za Jamii
Habari March 28, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?