MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wastaafu Epukeni Matapeli Kwenye Mafao-PSSSF
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wastaafu Epukeni Matapeli Kwenye Mafao-PSSSF
Habari

Wastaafu Epukeni Matapeli Kwenye Mafao-PSSSF

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Lyatuu
“KAMA Kuna suala linalowasumbua wastaafu Kwa kiwango kikubwa ni utapeli pindi wanapopokea mafao yao ambapo elimu inahitajika kila mara”
Mkurugenzi  Rasilimali Watu na Utawala   wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) amesema hayo  jijini Dodoma  wakati  Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA),Tumaini Nyamhokya alipofanya ziara ofisini kwake Kwa ajili ya kutambulisha gazeti la MFANYAKAZI akiongozana  na Mhariri Mkuu wa gazeti hilo Shani Kibwasali.
Kijazi amesema PSSSF imekuwa ikielimisha Kwa kina namna mafao yanavyotolewa na mpaka hatua ya mstaafu kuyapata lakini tatizo Bado limeendelea kuwa kubwa.
Amesema Kwa suala hilo wapo wastaafu wanaoangukia kubaki weupe kwamba wakikosa mafao yao Kwa kusikiliza matapeli ,ambapo elimu inaendelea kutolewa Ili kuokoa walio wengi .
Ni muhimu Watumishi wa Umma kuelimisha wastaafu kuwa   hakuna utaratibu wowote wa malipo anayotakiwa kutoa mstaafu kwa mfuko huo ili kupata mafao yake na pindi alikutana na tatizo Hilo atoe taarifa kwa mfuko huo” amesema.
Hata hivyo amesema ni muhimu kwa wanachama wanaofika kustaafu kujiridhisha na taratibu zozote anazotakiwa Ili kuepusha  hilo.
Kuhusu MFANYAKAZI,Nyamhokya ameutaka Mfuko huo kutoa taarifa na elimu mbalimbali  zinazohusu wastaafu kupitia chombo hicho Ili kupanua wigo zaidi wa elimu.

You Might Also Like

Ujenzi Miundombinu ya Kuongeza Udahili kipaumbele Cha Serikali

Rais Samia kufungua mkutano wa Mawaziri wa Uvuvi

Watafiti Mradi Wa  AGRISPAK kutoka SUA Waanza Uandaaji Wa Vitabu Vidogo

Chalamila afanya ukaguzi mwenendo wa utoaji huduma Kivuko cha Feri

Mwongozo wa Mafunzo Elekezi Kwa Walimu Wapya Kazini Mbioni Kukamilika

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mfanyakazi Ana Wajibu Kupeleka Taarifa za Madai
Next Article Silinde Akabidhi Nyaraka za Kufungua Masoko Mapya Nje ya Nchi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nishati Safi Kwa Kila Mtanzania Inawezekana – Saidy
Habari August 7, 2025
Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?