MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wanawake Pelekeni Batiki Kwenye Soko Huru La Afrika
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wanawake Pelekeni Batiki Kwenye Soko Huru La Afrika
Habari

Wanawake Pelekeni Batiki Kwenye Soko Huru La Afrika

Author
By Author
Share
3 Min Read

Na Lucy Lyatuu

WAJASIRIAMALI  nchini wametakiwa kuchangamkia soko la Huru la Afrika (AfCFTA) kwa kupeleka bidhaa aina ya batiki kwa kuwa inakubalika na inaongeza ushindani.

Rais wa chemba ya wanawake wafanyabiashara nchini (TWCC), Mercy Silla amesema hayo Dar es Salaam katika mafunzo kwa wajasiriamali, yaliyoandaliwa na Baraza la Biashara la Afrika  Mashariki (EABC) kwa kudhaminiwa na GIZ.

Amesema kuna mazao  kama kahawa,korosho yyanakubalika lakini ni muhimu kutambua kuwa ni vyema wanawake kupeleka batiki kontena kwa kontena kwani fursa ipo.

Amesema  batiki za Tanzania zinakubalika hivyo wafikirie yaliyo chanya, na kujituma kwani kufanya hivyo watapiga hatua.

Aidha amesema tayari zipo Kamati mbalimbali zinazoshuhulikia vikwazo visivyo vya Kiushuru  kwa kila nchi ili kuwezesha wajasiriamali kupeleka bidhaa zao katika eneo huru la biashara.

Amesema vipo vikwazo vilivyoondolewa kwani  kila nchi ilikuwa na taratibu zake, kwamba wana  masuala yao ya  kodi, ushuru, n ahata viwango vyao vya ada  ambavyo hivyo vinaendelea  kurekebishwa ili kuwe na mifumo inayofanana.

“Lakini kuna makubaliano kuwa vikwazo hivyo visizue kuwe na taratibu zinazofanana ili soko hilo liwe huru kufanya biashara na rahisi kuingia na kufanya biashara,” amesema.

Amesema ziko kamati mbalimbali zinafanyia kazi   hatua kwa hatua lakini vikwazo vingi  safari hii vimeshaanza kufanyiwa kazi ndio maana watu wameingia kwenye soko.

Amesema mafunzo kwa wajasiriamali yanalenga kuwapa taarifa muhumu za kuingia kwenye soko hilo  la afrika ambapo nchi ya Tanzania   imeridhia.

“Soko ni kubwa, wakuzwe, waungane ili wazalishe bidhaa kwa wingi  na tunawafundisha namna ya kurasimishe biashara ili wajasiriamali wajiunge kwa Pamoja na kuingia kwenye soko,” amesema.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora kutoka Shirika laViwango Tanzania (TBS) Lazaro Msasalaga amewataka wajasiriamali kuzingatia  viwango  udhibiti na  ubora kwenye bidhaa zao kwa kuwa ni eneo muhimu linalosaidia kulinda soko la bidhaa   na kuongeza ushindani kwenye masoko ya kikanda na kimataifa ikiwemo soko huru la  Biashara Afrika (AfCFTA).

Amesema Serikali ya awamu ya sita  imedhamiria  kujenga misingi shindani na endelevu kwa viwanda na watoa huduma wenye kuwezesha biashara ndogondogo kwa kuzingatia rasilimali zilizopo nchini.

“Miundo mbinu ya huduma Pamoja na kuzingatioa viwango  ni eneo muhimu la kuchangia  ukuaji wa maendeleo ya viwanda  uwekezaji na  biashara,” amesema.

Mwakilishi kutoka Sekretarieti ya EABC, Moses Kanyesigye amesema mafunzo hayo ni muhimu kwa wajasiriamali  ili kuwafunisha kuhusu soko suala zima la ubora na viwango.

“Tunataka wajasiriamali kupata nafasi kwa soko hilo  na bidhaa zao kufika huko, Tunawafunidisha namna ya kutengeneza bidhaa zao ziweze kufika katika soko hilo,” amesema.

 

 

.

 

You Might Also Like

Watafiti, Wabunifu Waendelezwe Wasivunjwe Moyo- Biteko

November 8, 2024

Waandishi wa Habari wa Afrika wapata mafunzo ya Kuandika Habari za Uhamiaji

Waziri Mkuu Kumwakilisha Dkt Samia Ivory Coast

Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Waandishi Watakiwa Kuandika Kwa Usahihi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Vipaumbele Vilivyopo Kwenye Mpango Wa Maendeleo Vitafsiriwe – Majaliwa
Next Article Prof.Mwakalila azungumza na wanafunzi wapya wa MNMA asisitiza uadilifu na uzalendo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?