MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wananchi Kunufaika Na Huduma Za Kijamii Mradi Wa LNG Mkoani Lindi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wananchi Kunufaika Na Huduma Za Kijamii Mradi Wa LNG Mkoani Lindi
Habari

Wananchi Kunufaika Na Huduma Za Kijamii Mradi Wa LNG Mkoani Lindi

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

WAZIRI wa Nishati, Deogratias  Ndejembi ameeleza kuwa utekelezaji wa mradi wa kubadilisha gesi asilia kuwa kimiminika ( LNG)  unatarajiwa kuwanufaisha wazawa kwa kiasi cha takribani dola za Marekani milioni 10 (USD 10M) pindi mradi huo utakapoanza kupitia shughuli za uwajibikaji kwa jamii (CSR).

Aidha amesema mradi huo pia utaliingizia taifa mapato mbalimbali yakiwemo kodi za zuio na kodi ya mapato ya kampuni.

Habari Picha 10607

 

Akizungumza katika kikao na Watendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)  kilichofanyika katika Ofisi za Wizara ya Nishati, Mtumba jijini Dodoma, Waziri Ndejembi amesema kuwa mradi huo utakaotekelezwa katika kijiji cha Likong’o mkoani Lindi ni wa kimkakati kwa maendeleo ya taifa, hivyo ni muhimu kufuata taratibu na miongozo iliyopo ili kuhakikisha Watanzania wananufaika kikamilifu na rasilimali hiyo.

Ameongeza kuwa Halmashauri zitafaidika moja kwa moja kupitia miradi ya maendeleo itakayotekelezwa katika maeneo husika.

Habari Picha 10608

 

Ndejembi amesema mradi huo utafungua fursa kwa sekta nyingine za uzalishaji ikiwemo sekta ya madini na sekta nyingine muhimu, hatua itakayochochea ukuaji wa uchumi wa taifa.

Katika kikao hicho amesisitiza umuhimu wa kutoa elimu kwa Watanzania mapema kuhusu mradi huo wa gesi asilia na faida zake ili kujenga uelewa na uungwaji mkono wa wananchi

Habari Picha 10609

 

Kwa upande mwingine Ndejembi, amewataka wataalamu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuzingatia uzalendo na kutanguliza maslahi mapana ya taifa katika utekelezaji wa mradi wa kuchakata gesi asilia kuwa kimiminika ( LNG).

 

You Might Also Like

Mtafiti UDSM Atafiti Mimea Ya Asili Kudhiti Fangasi Kwenye Mimea

Zimbabwe Yakabidhi Uenyekiti Kwa Madagascar

Ridhiwani Azindua Mifumo Ya Kielektroniki Na Miongozo YA Kazi, Ajira, Ulemavu

Serikali Yawapeleka Wauguzi 101 Nchini Saudi Arabia

Polisi Dar Wakamata Magari 15  Yasiyo na Usajili Rasmi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Serikali Yasisitiza Utoaji Huduma Bora Utekelezaji Bima Ya Afya
Next Article Mabalozi Wa Utalii Waahidi Kuulinda Ushoroba Wa Kwakuchinja
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari January 9, 2026
Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Habari January 9, 2026
Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Habari January 8, 2026
TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Habari January 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?