MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: VETA Shinyanga Waja Na Mafunzo Ya Saluni, Mapambo, Urembo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > VETA Shinyanga Waja Na Mafunzo Ya Saluni, Mapambo, Urembo
Habari

VETA Shinyanga Waja Na Mafunzo Ya Saluni, Mapambo, Urembo

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: WAJASIRIAMALI wanaofanya kazi katika saluni za kike na kiume, wameshauriwa kusoma Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), ili kuongeza ujuzi na maarifa katika kazi yao hiyo.

Ushauri huo umetolewa na Mwalimu wa Saluni, Mapambo na Urembo kutoka Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Shinyanga, Juddy Mwita alipozungumza na Mfanyakazi Tanzania katika Maonyesho ya Sabasaba ya mwaka huu 2025, yanayoendelea Mkoani Dar es Salaam.

Amesema, ” Nipo hapa kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa umma pia kuwaeleza umuhimu wa kutumia vitu vya asili kama mafuta ya kujaza nywele, sabuni za mchele,mwarobaini na mwani,”.

Amesema wale ambao hawajasoma VETA wamekuwa wakitumia bidhaa kinyume na inavyotakuwa.

“Mfano vifaa kama drier na mashine nyingine hutumika vibaya kwenye saluni kwani kuna watu ambao hawatakiwi kukaa kwenye mashine lakini wanawekwa.

” Kupaka zile dawa kuna kanuni zake. Kuna mtu anapakwa dawa inatakiwa aoshwe na maji ya uvuguvugu lakini anaoshwa na ya baridi,” amesema.

Amesema matumizi mabaya ya bidhaa yanaathiri binadamu, kwani kuna watu wanatumia mafuta na kwa kuwa hawajui matumizi yake kwa usahihi yanawaathiri.

Amesema watu hao wakipata mafunzo watayatumia vizuri katika kazi zao.

Amesema pia wamekuwa wakiwafundisha wanafunzi wao ujasiriamali kwa kuwaonyesha jinsi ya kutengeneza bidhaa za asili ikiwa ni pamoja na namna ya kuwakaribisha wateja.

“Nawakaribisha watu wa saluni waje wapate elimu ili waendeshe saluni zao vizuri. Mtu asifungue saluni bila kupata mafunzo,’ amesema.

You Might Also Like

TRC Yawatoa Hofu Wasafirishaji Mizigo Kwa Malori

Trump Kusitisha Sheria Za AGOA, Afrika Yapata Hasara

VETA Yatembelea Kiwanda Cha Kutengeneza Nyumba Bila Kutumia Tofali

China yatoa elimu ya ujenzi kwa wanafunzi Baobab

DC Twange Apongeza Wananchi Kuchangia Maendeleo 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article UDSM Yaja Na Bajaji Inayotumia Maji Na Mafuta
Next Article VETA Dodoma Waleta Mashine Kurahisishia Upekechuaji Wa Alzeti
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TEA Yawaalika Wananchi Kujifunza SDF Unavyofanya Kazi
Habari July 3, 2025
Wanufaika wa SDF Waeleza Mafaniko Waliyoyapata
Habari July 3, 2025
VETA Dodoma Waleta Mashine Kurahisishia Upekechuaji Wa Alzeti
Habari July 3, 2025
UDSM Yaja Na Bajaji Inayotumia Maji Na Mafuta
Habari July 3, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?