MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: VETA Mtwara Yawafundisha Wanafunzi Uongezaji Thamani Kwenye Korosho, Mwani
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > VETA Mtwara Yawafundisha Wanafunzi Uongezaji Thamani Kwenye Korosho, Mwani
Habari

VETA Mtwara Yawafundisha Wanafunzi Uongezaji Thamani Kwenye Korosho, Mwani

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: MKUFUNZI kutoka Chuo cha Ufundi Stadi (VETA), Mkoani Mtwara, Fadhila Kusaga amesema chuo hicho kinawafundisha wanafunzi namna ya kuongeza thamani kwenye bidhaa mbalimbali ikiwemo korosho na zao la mwani.
Kusaga amesema hayo kwenye Banda la Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), katika maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Mkoani Dar es Salaam.
Amesema wanamfundisha mwanafunzi kuanzia hatua ya uandaaji wa korosho kutokana na uhitaji wa wateja,  kisha wanaziweka kwenye vifungashio.
“Pia tunamfundisha mwanafunzi aweze kuji brand ili kuingia sokoni vizuri,” amesema.
Amesema wametengeneza siagi ya korosho baada ya kuona sokoni kwa muda kumekuwepo na siagi ya karanga.
“Sasa hivi kuna bidhaa ya siagi ya karanga, nasi tumetengeneza siagi ya korosho,” amesema.
Kwa upande mwingine amesema katika kuendeleza uchumi wa buluu  wamechukua mwani na kuusaga kisha wakapata unga ambao ni tibalishe nzuri inayosaidia matatizo ya viungo.
Amesema tibalishe hiyo pia inasaidia ukosefu wa usingizi, inaondoa stress, inatibu moyo pia inaongeza nguvu za kiume.

You Might Also Like

Wanafunzi, Watafiti, Wanataaluma Kujadili Dini, Utamaduni na Maisha ya Kisasa

Rais Dkt Mwinyi Afika Katika Dua ya Kumuombea Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Pili

Wafanyabiashara 45 Wa Tanzania Wameanza Kutumia Soko La Eneo Huru La Afrika

Tari Ilonga yaboresha mbegu, mavuno yapanda hadi tani 3.8 kwa hekta

TARURA Yatoa Elimu Nane Nane

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA Shinyanga Yatumia Kompyuta Kubuni Bidhaa 
Next Article Tunapokea Malalamiko Ya Wananchi, Tunayafanyia Kazi – Dario
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Habari October 17, 2025
Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?