MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tunapokea Malalamiko Ya Wananchi, Tunayafanyia Kazi – Dario
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tunapokea Malalamiko Ya Wananchi, Tunayafanyia Kazi – Dario
Habari

Tunapokea Malalamiko Ya Wananchi, Tunayafanyia Kazi – Dario

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: WIZARA ya Katiba na Sheria inapokea malalamiko ya mwananchi ambaye hajatendewa haki mahakamani au kwenye eneo lolote linalohusiana na haki.

Wakili wa Serikali kutoka Kitengo cha Katiba na Ufuatiliaji Haki wizarani hapo, Doris Dario amesema hayo kwenye maonesho ya Sabasaba yanayoendelea mkoani Dar es Salaam.

Amesema, ” Tunapokea malalamiko yale, tunayafanyia kazi, tunawasiliana na taasisi husika au wizara husika, suala hilo linapatiwa ufumbuzi.

“Na kuna masuala mengine tunayapokea yanakuwa na udharura, labda mwananchi anaona lkama hajatendewa haki kwa hiyo tunawasiliana na eneo husika kutaka kujua, suala linafanyiwa kazi na kutoa mrejesho, kisha tunawasiliana na mwananchi,” amesema.

Kwa upande mwingine amesema jatika maonesho hayo wamekuwa wakitoa elimu kwa wananchi ili wajue mifumo ya utoaji haki, lakini wajue wajibu na haki yao, kwa mujibu wa katiba.

“Inapotokea mtu ametendewa sintofafamu basi ajue wapi pa kupeleka changamoto yake. Katika ngazi zile za kimahakama au katika vyombo vingine ambavyo vinapokea malalamiko ya wananch,” amesema.

You Might Also Like

PSSSF Yaanza Kulipa Mafao Kwa Kikokotoo  Kipya Kilichoboreshwa – Ridhiwani

Ridhiwani Awataka Wananchi Kuboresha Taarifa Zao Tayari Kwa Uchaguzi Mkuu

Dkt. Komba: Mfumo wa kidijitali utaleta tija kwa mkulima

Mwambungulu Asisitiza Ushirikiano Na Serikali

Maabara Za Sayansi Zachochea Hamasa Kitaaluma

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA Mtwara Yawafundisha Wanafunzi Uongezaji Thamani Kwenye Korosho, Mwani
Next Article VETA Shinyanga Waja Na Mafunzo Ya Saluni, Mapambo, Urembo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Apongeza Jeshi La Magereza Kurasimisha Ujuzi Kwa Wafungwa
Habari August 27, 2025
Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano
Habari August 27, 2025
Majaliwa Aagiza Kuimarishwa kwa Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini
Habari August 27, 2025
VETA Yaanzisha Kozi Mpya ya Teknolojia ya Mifumo ya Viwandani
Habari August 26, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?