MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TPDC  Yaibuka Mshindi Sabasaba Yapata Tuzo Ya Tano
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TPDC  Yaibuka Mshindi Sabasaba Yapata Tuzo Ya Tano
Habari

TPDC  Yaibuka Mshindi Sabasaba Yapata Tuzo Ya Tano

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Lyatuu
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeibuka mshindi katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, maarufu kama Sabasaba, baada ya kutuzwa kwa mchango wake mkubwa katika kulinda mazingira kupitia matumizi ya nishati safi.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa TPDC,  Maria Mselemu, amesema  hayo mara baada ya kupokea Tuzo na kuongeza kuwa mafanikio hayo ni matokeo ya utendaji kazi wa hali ya juu na ufuatiliaji makini wa shughuli za shirika hilo.
“Hii ni tuzo yetu ya tano katika maonesho haya, na kwetu sisi imekuwa kawaida kupata tuzo kutokana na ubora wa huduma na miradi yetu, ikiwemo tuzo ya mazingira tuliyopokea leo,” amesema Bi. Mselemu.
Amefafanua kuwa TPDC imefanikiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa utoaji wa hewa ukaa kwa kutumia nishati safi ya kupikia na ile inayotumika katika magari, hatua ambayo imechochea mafanikio yao katika nyanja za mazingira.
“Kupitia matumizi ya nishati safi, tumeweza kuondoa zaidi ya tani 100,000 za hewa ukaa. Hii ni hatua kubwa katika kulinda mazingira yetu. Tunajivunia kuwa sehemu ya suluhisho la mabadiliko ya tabianchi,” ameongeza  Mselemu.
.

You Might Also Like

Miradi Ufungaji Mifumo Ya Umeme Jua 20,000 Mbioni Kuanza

Endeleeni Kuunganisha Mifumo Ya TEHAMA Ya Kisekta – Kakoso

Kusiluka aitaka TVLA kuongeza tafiti za chanjo 

Wanafunzi Wawili Wajiteka Ili Wapate Pesa Toka Kwa Wazazi wao

Lugendo Awataka Wananchi Kujenga Tabia Ya Kufanya Usafi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article MAIPAC Yagawa Makoti Ya Usalama Kwa Wanahabari Kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Next Article DIT Mwanza   Kutoa Kozi Ya Kuchakata Ngozi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

  Tanesco Yagawa Zawadi Ya Majiko Sabasaba Kuhimiza Matumizi Nishati Safi
Habari July 8, 2025
Bahari  Ina Fursa Nyingi Zisizofahamika-Tasac
Habari July 8, 2025
VETA Yafanya Mageuzi Makubwa Yaliyowezesha Wengi Kuajiriwa
Habari July 8, 2025
DIT Mwanza   Kutoa Kozi Ya Kuchakata Ngozi
Habari July 8, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?