MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Si ruhusa kufuga, kuchunga, kuvua maeneo ya umwagiliaji
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Si ruhusa kufuga, kuchunga, kuvua maeneo ya umwagiliaji
Habari

Si ruhusa kufuga, kuchunga, kuvua maeneo ya umwagiliaji

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DODOMA:HAIRUHUSIWI kufuga, kuchunga ama kuvua samaki katika maeneo yaliyotengwa rasmi kwenye shughuli za kilimo cha umwagiliaji.
Ofisa Sheria Mwandamizi kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Amina Mweta amesema hayo katika maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi yanayoendelea katika Uwanja wa Nzuguni Dodoma.
Amina amesema sheria inakataza hayo kwamba maeneo ambayo yametangazwa kuwa ni sehemu ya kilimo cha umwagiliaji hayapaswi kutumika kwa shughuli nyingine.
Amesema pia sheria kwa kutambua kuwa miundombinu ya umwagiliaji inapaswa kujengwa na kukarabatiwa, ” Kifungu cha 52 kimeanzisha Mfuko wa Maendeleo ya Umwagiliaji ambao utachangiwa na serikali kuu, wadau wa sekta ya umwagiliaji pamoja na vyama vya umwagiliaji.
“Hiyo sheria imebainisha kwamba wakulima wa umwagiliaji wanapaswa kuchangia ada ya huduma ya umwagiliaji kwa kila msimu watakaovuna kwa asilimia tano tu ya mapato ambayo wanayapata,” amesema.
Awali amesema sheria ya Taifa ya Umwagiliaji imetoa majukumu kwa tume kuratibu, kusimamia na kuendeleza sekta ya umwagiliaji nchini.
Amesema majukumu mengine ya tume ni kusimamia na kusajili vyama vya wakulima wa umwagiliaji.

You Might Also Like

JAB Yatoa Mwezi Moja Kuthibitishwa, kupewa vitabulisho

Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA

Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi Akutana na Katibu Mkuu CRC

Dkt. Mashimba Achukua Fomu Ya Kuwania Nafasi Ya Ubunge

Tumeanza Kufanyia Kazi Maelekezo Ya Rais Samia – Bashungwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Miradi ya Maendeleo Isimamiwe kwa Uadilifu
Next Article Mpango Mkakati wa Takwimu wazinduliwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?