MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Inatoa Kipaumbele Kufikisha Umeme Taasis Zinazotoa Huduma Kwa Jamii- Kapinga
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Inatoa Kipaumbele Kufikisha Umeme Taasis Zinazotoa Huduma Kwa Jamii- Kapinga
Habari

Serikali Inatoa Kipaumbele Kufikisha Umeme Taasis Zinazotoa Huduma Kwa Jamii- Kapinga

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na Mwandishi Wetu
NAIBU  Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatoa kipaumbele katika kufikisha umeme kwenye taasisi zinazotoa huduma kwa jamii zikiwemo Taasisi za Elimu.
 Kapinga ameyasema hayo leo Februari 10, 2025 bungeni jijini Dodoma  wakati akijibu swali  la Mbunge wa Viti Maalum,  Neema Rugangira aliyeuliza iwapo Serikali haioni haja kupitia upya Mkataba wa REA kuhakikisha umeme unafikishwa Mashuleni ili Shule ziunganishwe na huduma za TEHAMA.
“Hadi kufikia mwezi Januari, 2025 taasisi za elimu zilizopatiwa umeme kupitia REA ni 18,597. Serikali kupitia REA itaendelea kupeleka umeme kwenye vituo vya huduma nchini kulingana na upatikanaji wa fedha”. Amesema  Kapinga
Ameongeza kuwa, Serikali inatekeleza miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa COVID ambapo Serikali imepeleka umeme kwenye vituo vya afya 111.
Ameongeza kuwa  upo mradi mwingine ambao unapeleka umeme kwenye pampu za maji takribani 411 na kwenye maeneo ya kilimo na maeneo ya migodi 605.
Akijibu swali Mbunge wa Viti Maalum, Kabula Shitobela aliyeuliza ni lini Serikali itatoa ruzuku katika nishati safi ya kupikia ili kuwasaidia akina Mama wasifanyiwe ukatili na kuuwawa kutokana na imani potofu,  Kapinga amesema Serikali inaendelea kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034.
Amesema kupitia mkakati huo, Serikali imeanza kutoa ruzuku ya  asilimia 20 hadi 50 ya bei ya mitungi ya gesi ya LPG kwa watumiaji wa mwisho.
Aneongeza kuwa  Serikali inaendelea na hatua mbalimbali za kusambaza majiko banifu 200,000 pamoja na kusambaza umeme ili kuhamasisha matumizi ya majiko ya umeme.
Amesisitiza hatua hiyo itasaidia wananchi wengi zaidi kutumia majiko hayo kupikia na mwisho kupunguza matumizi ya kuni.
Akijibu swali la Mbunge wa Mbulu Mjini,  Issaay Zacharia aliyeuliza kutokana na mahitaji ya wananchi kuhitaji huduma ya umeme ni makubwa, Serikali haioni haja ya kuongeza idadi ya vitongoji.
Kapinga amesema Serikali inaona umuhimu wa jambo hilo ndio maana Serikali inaanza mradi mwingine wa kupeleka umeme kwenye vitongoji 8000.
Akijibu swali la Mbunge wa Ludewa,  Joseph Kamomga aliyetaka kufahamu mkakati wa Serikali kutenga bajeti ya kutosha ili kuweza kurekebisha miundombinu ya wazalishaji binafsi ili iendane na viwango vya TANESCO,   Kapinga amesema tayari uhakiki umeshafanyika ili kupata gharama halisi kwa ajili ya kufanya ukarabati kurekebisha miundombinu hiyo.

You Might Also Like

Fikeni kwa wakati CMA, mtatuliwe migogoro ya kikazi – Massawe

Kongamano la Kahawa Bora Afrika kufanyika Tanzania Februari mwakani

Wiki ya kudhibiti bidhaa bandia kuhitimishwa DSM

COSTECH Yasaini Mkataba Ujenzi Jengo La Sayansi, Teknolojia, Ubunifu

NCCR-MAGEUZI Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia Aridhia Malipo Ya Fidia Barabara Ya Afrika Mashariki
Next Article Dendego Achangisha Bilioni 1.7, Ujenzi Ofisi Ya CCM
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?