MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Sekta Binafsi Zazuia Wafanyakazi Kujiunga Na Vyama Vya Wafanyakazi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Sekta Binafsi Zazuia Wafanyakazi Kujiunga Na Vyama Vya Wafanyakazi
Habari

Sekta Binafsi Zazuia Wafanyakazi Kujiunga Na Vyama Vya Wafanyakazi

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
PWANI: WAAJIRI wengi katika Sekta Binafsi wamekuwa wakiwazuia wafanyakazi wao kujiunga na  Vyama vya Wafanyakazi, kwa kuhisi wakijiunga watakuwa tishio.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania ( TUGHE), Hery Mkunda amesema hayo alipozungumza na Mwandishi wa Habari wa Mfanyakazi Tanzania.
Mkunda ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ( TUCTA), amesema kutokana na hali hiyo wamechukua hatua kwa kushirikiana na serikali kupitia Ofisi ya Kamishna wa Kazi kuhakikisha wanaendelea kufanya kaguzi sehemu mbalimbali za kazi.
“Pia tunazungumza na waajiri waruhusu wafanyakazi wao kujiunga na vyama maana ni haki yao kwa mujibu wa mikataba ya Kimataifa ambayo Sisi Tanzania tumeisaini,” amesema.
Mkunda pia ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Afrika Mashariki, pia Mjumbe Kamati Kuu ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Duniani.

You Might Also Like

Wahifadhi Saohill Wapongezwa

Vyama Vya Wafanyakazi Vihimize Waajiri Kutoa Taarifa WCF, Zinazohusu Wafanyakazi Wanaopata Ajali, Ugonjwa Kazini

Dendego Achangisha Bilioni 1.7, Ujenzi Ofisi Ya CCM

Mipango Zaidi Msiba Wa Cleopa Msuya Kutolewa Na Serikali

Rais Samia akunwa na Tarura

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TUGHE Kujenga Jengo La Bilioni 10, Chawapa Zawadi Wafanya Kazi Hodari Zaidi Ya Bilioni Tatu
Next Article SGR Kipande Cha Saba Na Nane kuanza kujengwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
Mtego wa Inzi Wa Matunda Suluhisho Salama kwa Wakulima
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?