MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: SANGU: e-Utatuzi Italeta Mapinduzi katika utoaji Haki
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > SANGU: e-Utatuzi Italeta Mapinduzi katika utoaji Haki
Habari

SANGU: e-Utatuzi Italeta Mapinduzi katika utoaji Haki

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amesema kuwa mfumo mpya wa usajili wa mashauri ya usuluhishi na uamuzi kwa njia ya kidijitali unaofahamika kama e-Utatuzi, unatarajiwa kuleta mapinduzi makubwa katika utoaji wa haki nchini.
Waziri Sangu ameyasema hayo leo Januari 21, 2025, jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya kuanza rasmi matumizi ya mfumo wa e-Utatuzi.
Amesema kuwa mfumo huu utapunguza gharama za wananchi kusafiri umbali mrefu kufuata huduma katika ofisi za Tume, kuongeza uwazi na uwajibikaji, pamoja na kuchochea upatikanaji wa haki na ukuaji wa uchumi.
“Serikali inatambua umuhimu wa CMA kwa kuwa huduma zake zinagusa waajiri na waajiriwa ambao kwa msingi wao wanachangia ukuaji wa uchumi wa nchi yetu. Bila CMA imara na yenye uwezo wa kutatua migogoro kwa haraka, uchumi unaweza kuathirika,” amesema Waziri Sangu.
Vilevile, ameipongeza Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kwa kazi kubwa iliyofanya kuhakikisha mfumo wa e-Utatuzi unakamilika na kuanza kutumika, akisema mfumo huo utachagiza zaidi utoaji wa haki kwa wananchi.
Habari Picha 10842
Kwa upande wake, Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Dkt. Yose Mlyambina, amesema kuwa mfumo wa e-Utatuzi unaleta mapinduzi ya kidijitali kwa kuongeza uwazi, kasi na ufanisi katika utoaji wa haki kazi.
Naye Mkurugenzi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Usekelege Mpulla, ameishukuru Serikali ya  kwa kuwezesha usimikaji wa mfumo huo wa kidijitali, ambao utarahisisha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa wananchi kwa njia ya mtandao.

You Might Also Like

VETA Shinyanga Waja Na Mafunzo Ya Saluni, Mapambo, Urembo

TAFIRI Wakabiliana Na Mabadiliko Ya Tabianchi

Serikali Yasema Migogoro Ya Ndoa lliyotatuliwa Imeongezeka

Waandishi wa Habari wa Afrika wapata mafunzo ya Kuandika Habari za Uhamiaji

UDSM Yatumia Teknolojia Ya Kidijitali Kukabili Sumukuvu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article BoT: Tumia Taasisi za Fedha Halali kwa Usalama wa Kifedha
Next Article TADB Yatoa Elimu ya Kifedha kwa Wananchi na Wanafunzi Tanga
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbunge Asisitiza Sheria za Majiko Safi Ili Kulinda Mazingira
Habari February 3, 2026
Mwalunenge: Bila Rasilimali Watu Na Mtaji, Mipango Ya Kilimo Haitafanikiwa
Habari February 3, 2026
Gulamali Ahoji Bungeni Changamoto ya Mawasiliano Ilongelo
Makala February 3, 2026
Serikali Yaendelea Kuimarisha Uhuru wa Mahakama – Nchimbi
Habari February 2, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?