MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Mwinyi Kuzindua Maabara Nguvu Za Atomi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Mwinyi Kuzindua Maabara Nguvu Za Atomi
Habari

Rais Mwinyi Kuzindua Maabara Nguvu Za Atomi

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na Lucy Ngowi

DODOMA: UWEPO wa Maabara Mpya ya Nguvu za Atomi upande wa Zanzibar ni hatua muhimu katika kuhakikisha matumizi ya teknolojia ya nyuklia yanakua na kuleta tija inayokusudiwa

 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa, Adolf Mkenda amesema hayo leo Jijini Dodoma alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa jengo hilo la maabara.

 

“Matumizi ya maabara hizi pia yatasaidia kuongeza fursa za kufanya biashara na nchi nyingine kwa kuhakikisha usalama,” amesema.

 

Mkenda amesema maabara hizo zitakuwa msingi mzuri kwa shughuli za utafiti na mafunzo, zikiwawezesha wataalamu katika kufanikisha tafiti na miradi mbalimbali inayolenga kuboresha huduma na bidhaa katika sekta hizo muhimu.

 

“Aidha, uwepo wa maabara hii utaongeza uwezo wa kitaaluma wa wataalamu wetu, kuwezesha uhamishaji wa teknolojia,” amesema.

 

Amesema wizara yake kwa kushirikiana na Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania wamejenga ofisi na maabara hizo za nyuklia katika kanda nne ambazo ni Kanda ya Kaskazini (Arusha), Kanda ya Kati (Dodoma), Kanda ya Ziwa (Mwanza) na hivi karibuni watazindua Ofisi ya Zanzibar kwa lengo la kusogeza huduma kwa wananchi.

 

Amesema uzinduzi wa maabara na ofisi za tume hiyo zitakazozinduliwa hivi karibuni, zimejengwa  eneo la DungaZuze Zanzibar, ambapo Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,  Hussein  Ali Mwinyi atazindua Novemba 11, mwaka huu.

 

Amesema Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania, ilielekezwa kuhakikisha kuwa inaendelea kuimarisha huduma, tafiti na ubunifu unaolenga kuongeza wigo wa matumizi ya sayansi na teknolojia ya nyuklia katika sekta mbalimbali nchini.

 

Sambamba na hilo, hatua hiyo inalenga kusogeza huduma za uthibiti na kuhamasisha matumizi salama ya nyuklia karibu na wananchi wa Zanzibar.

 

Amesema teknolojia ya nyuklia ikitumika vizuri inaweza kuongeza tija katika sekta mbalimbali ikiwemo kuchunguza na kutibu ugonjwa wa saratani, kuboresha mbegu za mazao hasa yale ambayo yana ugumu kustawi na yanatoa mazao kidogo,

 

Pia kuua vimelea vinavyosabisha chakula kuharibika kudhibiti kuzaliana kwa wadudu wanaoeneza magonjwa kama vile mbung’o, kuhakiki uimara na ubora wa maungio ya matenki na mabomba makubwa ya mafuta au maji,

 

Kuhakiki ubora katika ujenzi wa barabara na reli, kusafisha maji taka kwa ajili ya kutumika katika shughuli nyingine, utafiti wa mafuta na gesi.

 

 

You Might Also Like

Uchaguzi Serikali Ya Mitaa kufanyika Novemba 27

Wapongeza Nyongeza Ya Likizo Kwa Aliyejifungua Mtoto Njiti

BRT Kuimarisha Uhusiano Tanzania, China

Tumeanza Kufanyia Kazi Maelekezo Ya Rais Samia – Bashungwa

Chuo Cha VETA Chazindua Mradi Wa Biogas

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Waziri Pinda ashiriki mazishi ya Jaji Kipenka
Next Article Bil.19 kusambaza umeme vitongojini Tabora
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?