MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: PSSSF MSHINDI WA KWANZA TUZO ZA UANDAAJI BORA MAHESABU ZA NBAA, 2023
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > PSSSF MSHINDI WA KWANZA TUZO ZA UANDAAJI BORA MAHESABU ZA NBAA, 2023
Habari

PSSSF MSHINDI WA KWANZA TUZO ZA UANDAAJI BORA MAHESABU ZA NBAA, 2023

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM: MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetunukiwa tuzo ya mshindi wa kwanza ya umahiri katika uaandaji wa taarifa za mahesabu kwa mwaka unaoishia 2023, katika kundi la hifadhi ya jamii.
Meneja wa Fedha PSSSF, Vonness Koka alipokea tuzo hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu katika hafla ya utoaji tuzo ulioratibiwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Wizara ya Fedha, Benjamin Mashauri.
“Tunamshukuru Mungu kwa kupewa hii tuzo, tunapokea tuzo hii kwa mara ya tatu mfululizo, pongezi kwa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko, Mkurugenzi Mkuu na Menejimenti yake na watumishi wote wa PSSSF kwa ujumla.
“Hususani kurugenzi ya fedha kwa kuwezesha kupatikana kwa tuzo hii. Tuzo hii iwe chachu ya kuhakikisha kwamba mahesabu yetu yanaandaliwa vyema kila wakati,” amesema Vonness.

You Might Also Like

OUT Yawanoa Watumishi Wa Mamlaka Za Serikali Za Mitaa

Tanzania Yaingia Saba Bora Duniani  Kwa Uzalishaji Wa Pamba Hai

Manyara Kusambaza Mitungi 16,275 ya Gesi kwa Bei ya Ruzuku

Serikali Yawapeleka Wauguzi 101 Nchini Saudi Arabia

NSSF Kutoa Mafao Siku Moja Baada ya Kustaafu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Zuhura Yunus Atoa Neno Kwa Madereva 
Next Article Ridhiwani Ateta na Viongozi wa Vijiji Lugoba, Chalinze 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?