Na Lucy Ngowi
DODOMA: KATIBU Mkuu wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu, Profesa Carolyne Nombo, ametembelea banda la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni, mkoani Dodoma, leo Agosti 8, 2025 — siku ya kilele cha maadhimisho ya sikukuu hiyo.

Pembeni ya Profesa Nombo ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa UDSM, Dkt. Dotto Kuhenga, wakati wa ziara hiyo.
Maadhimisho ya Nanenane kwa mwaka 2025 yanafanyika kitaifa mkoani Dodoma.


