MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Prof.Mwakalila azungumza na wanafunzi wapya wa MNMA asisitiza uadilifu na uzalendo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Uncategorized > Prof.Mwakalila azungumza na wanafunzi wapya wa MNMA asisitiza uadilifu na uzalendo
Uncategorized

Prof.Mwakalila azungumza na wanafunzi wapya wa MNMA asisitiza uadilifu na uzalendo

Penina Malundo
By Penina Malundo
Share
2 Min Read

Na Penny Yohana,Dar es Salaam

Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof. Shadrack Mwakalila amewataka wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa masomo 2024/25 wa Chuo hicho kuwa Wadilifu,Waaminifu na Wazalendo kwa Chuo na Taifa kwa ujumla.

Prof. Mwakalila amesema hayo leo wakati wa kikao cha pamoja Kati ya Wafanyakazi na Wanafunzi hao wapya kikao ambacho kinefanyika katika Jengo la Utamaduni Chuoni hapo.

Katika kikao hicho Prof. Mwakalila amewataka Wanafunzi kuzingatia kanuni, miongozo na taratibu za Chuo ikiwa ni pamoja na kujiepusha na makundi ya uchochezi na badala yake wabakie kwenye malengo yaliyowaleta Chuoni.

Mkuu huyo wa Chuo amewakumbusha Wanafunzi suala la kuheshimiana wao kwa wao, kuheshimu viongozi na Wafanyakazi na kuheshinu Mamlaka zote.

Pia amewataka wanafunzi kuitumia vizuri Serikali ya Wanafunzi katika kutatua changamoto mbalimbali katika kipindi chao chote watakachokuwa chuoni

Prof. Mwakalila amesema dira ya Chuo ni kuwa kituo cha utoaji wa maarifa bora, hivyo majukumu ya Chuo hiki ni majukumu Kama yalivyo kwenye Vyuo Vikuu vingine hapa nchini.

Kwa upande wake Naibu Mkuu wa Chuo anayesimamia Taaluma,Utafiti, na Ushauri wa kitaalamu Prof. Richard Kangarawe amewataka Wanafunzi kukamilisha usajili ili waweze kupata huduma wanazostahili kwa wakati ikiwa ni pamoja na kuzingatia Sheria za mitihani ili wahitimu kulingana na programu husika na kwa wakati unaotakiwa.

Naye Naibu Mkuu wa Chuo anaesimamia Utawala, Fedha na Mipango Dkt. Evaristo Haule amewaeleza wanafunzi hao wa mwaka wa kwanza kuwa wamefanya chaguo sahihi kuja kusoma katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, na kuwa watapata Elimu bora inayozingatia Maadili.

You Might Also Like

Hakuna Vituo Bandia vya Kuandikisha Wapigakura:Mchengerwa

Wananchi Wachagua Viongozi Serikali Za Mitaa

Dkt.Mpango ataka Afrika kuunganisha nguvu uendelezaji wa Jotoardhi

Kapinga : Bei ya umeme Tanzania ni nafuu kuliko nchi nyingine Afrika Mashariki

Mbunge Wa Kibamba Mtemvu. Ajitokeza Kujiandikisha, Kuboresha Taarifa Zake

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wanawake Pelekeni Batiki Kwenye Soko Huru La Afrika
Next Article Wagombea ambao hawajaridhishwa na uteuzi,waweke pingamizi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?