MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Nchi Za SADC Zahimizwa Kutunza, Kulinda Amani
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Nchi Za SADC Zahimizwa Kutunza, Kulinda Amani
Habari

Nchi Za SADC Zahimizwa Kutunza, Kulinda Amani

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
NNCHI za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimepiga hatua kubwa katika kuimarisha amani na utulivu, mshikamano na utawala bora, licha ya changamoto zilizopo.
Changamoto hizo ni za kisiasa, uhalifu unaovuka mipaka na matatizo ya kiuchumi kwa jamii.
Habari Picha 8917
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Samwel Shelukindo amesema hayo wakati anafungua Mkutano wa Utatu wa Makatibu Wakuu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama jijini Antananarivo, Madagascar leo Agosti 15, 2025.
“Licha ya changamoto mbalimbali zinazozikabili nchi wanachama na ulimwengu kwa ujumla, eneo letu limebaki kuwa himilivu, likiendelea kutekeleza majukumu yake kwa ajili ya kuyafikia malengo ya kisiasa na kiuchumi kwa manufaa ya watu wetu,” amesema.
Habari Picha 8918
Amesema ni jambo lisilopingika kwamba amani na utulivu ni msingi wa kuyafikia maendeleo endelevu, hivyo, amesisitiza umuhimu wa nchi za SADC kufanya kila linalowezekana ili eneo hilo liendelee kubaki kuwa tulivu wakati wote.
Amesema ili lengo hilo liweze kutimia, amehimiza nchi wanachama kulipa kipaumbele kwa kujijengea uwezo katika kuhamasisha jitihada za kuzuia migogoro, usuluhishi wa migogoro, kujenga na kulinda amani.
Amezitakia kheri nchi wanachama zinazojiandaa na uchaguzi mkuu ambazo ni Malawi, Ushelisheli na nchi yake Tanzania.
Amesema Tanzania inasubiri kwa hamu kubwa kupokea timu ya waangalizi ya SADC ambapo maandalizi ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2025 yanaendelea.

You Might Also Like

Wakulima wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya mbolea

Wizara Ya Madini Kununua Chopa, Kufanya Utafiti

Kipanga: Lugha ya Kichina Inakuza Diplomasia, Kuimarisha Uhusiano

Wadau wa Kisekta watakiwa kukabiliana na athari za mvua msimu 2024/25

Sekta Binafsi Zazuia Wafanyakazi Kujiunga Na Vyama Vya Wafanyakazi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Baraza La Mawaziri La SADC Lahitimisha Kikao Chake Jijini Antananarivo
Next Article Nchi Za SADC Zahimizwa Kutunza, Kulinda Amani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Apongeza Jeshi La Magereza Kurasimisha Ujuzi Kwa Wafungwa
Habari August 27, 2025
Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano
Habari August 27, 2025
Majaliwa Aagiza Kuimarishwa kwa Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini
Habari August 27, 2025
VETA Yaanzisha Kozi Mpya ya Teknolojia ya Mifumo ya Viwandani
Habari August 26, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?