Na Mwandishi Wetu
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore (Kulia) akiteta jambo na Mhitimu wa Fani ya Ushonaji, Ubunifu na Teknolojia ya Nguo, Riziki Ndumba kutoka Chuo Cha VETA Songea, wakati wa Mkutano na Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Nguo na Mavazi yaliyonyika Machi 14, 2025 kwenye ukumbi wa Golden Jubilee, Dar es Salaam.
Riziki Ndumba ni mjasiriamali mbunifu wa nguo anayeendesha shughuli zake mjini Songea, mkoa wa Ruvuma.
