MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mkakati Wa Utekelezaji Wa Sera Ya Malikale Lango La Fursa Za Utalii
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mkakati Wa Utekelezaji Wa Sera Ya Malikale Lango La Fursa Za Utalii
Habari

Mkakati Wa Utekelezaji Wa Sera Ya Malikale Lango La Fursa Za Utalii

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na  Mwandishi Wetu, Dodoma
SERIKALI  ya awamu ya Sita chini ya  Rais  Dkt. Samia Suluhu Hassan, inaendeleza jitihada za  uhifadhi endelevu na utangazaji wa malikale nchini kwa kuandaa Mkakati wa utekelezaji wa Sera ya Malikale ya mwaka 2008 ambao utatekelezwa kwa kushirikisha wadau mbalimbali.
Akifungua kikao kazi cha  wadau cha kujadili Mkakati wa Utekelezaji wa Sera hiyo, Jijini Dodoma, Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Uhifadhi, Kamishana wa Polisi Benedict Wakulyamba, amesema utalii wa kihistoria hapa nchini umekuwa kwa kasi hivyo uwepo wa Sera na Mikakati hiyo  itawezesha Sekta ya Malikale kunufaisha nchi na wadau wake.
. Wakulyamba ameongeza kuwa kutokana na jitihada hizo za  Rais Dkt.  Samia  za kuendeleza sekta ya Utalii nchini, ni wazi Sera na Mikakati huo itasaidia  sekta ya Utalii wa Mali kale kulinufaisha Taifa na wadau wake na kuongeza kua kushirikisha wadau kupitia Mkakati huo kutasaidia kuondokana na changamoto zinazoikabili sekta  hiyo.
‘‘Uharibifu wa malikale, mabadiliko ya tabianchi, wadau kutoshirikishwa ipasavyo zinapaswa kujibiwa na mkakati huu. Mkakati ukiandaliwa ipasavyo utaweza kujibu hoja za msingi ambazo zitaleta tija katika Sekta hii ya Malikale.’’ Wakulyamba.
Aidha Wakulyamba ametoa rai kwa jamii kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuthamini na kuhifadhi utajiri wa urithi wa Historia na Malikale nchini ili uweze kuendelea kuwanufaisha watanzania wote na kwa maslahi mapana ya kizazi kinacho kuja.
Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa Idara ya Malikale, Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Uhifadhi wa Malikale Dkt. Emmanuel Bwasiri amesema mkakati huo utatekelezwa kuanzia 2024 – 2025 na utazingatia mambo muhimu ikiwemo kutoa  elimu kwa umma na uhamasishaji, kufanya tafiti na uhifadhi, umairishaji wa Taasisi na kukuza Ushirikiano wa Kimataifa.
Naye Mhadhiri wa Akiolojia na Malikale, Idara ya Historia na Akiolojia, Chuo kikuu Cha Dodoma, Dkt. Abel Shikoni licha ya kuipongeza serekali kwa kushirikisha wadau kwenye kuunda mkakati huo, amesema pamoja na mambo mengine  utekelezaji wake  utafungua fursa za ajira kwa watanzania hususani wahitimu wa vyuo vikuu nchini.

You Might Also Like

Ujenzi Jengo la Sayansi, Teknolojia, Ubunifu Kuanza Kesho Dodoma

Rais Samia atambua mchango wa NHIF, WCF

Mwanachama Wa TALGWU Akutwa Hana Hatia

Rais Samia Awasili Mwanza Kilele Cha Mbio za Mwenge

Apongeza watumishi kwa kutoa huduma bora kwa walimu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article BOT Yafungia Applications 69 Za Mikopo Mtandaoni
Next Article TTCL Yafanya Maboresho Makubwa Kwa Watumiaji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?