Na Mwandishi Wetu
Mgombea nafasi ya Rais kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na Wanachama wa CCM wa Babati katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho Mkoani Manyara leo Oktoba nne, 2025.
