MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Matumizi Holela Ya Vilevi Hatari Kwa Watumiaji
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Matumizi Holela Ya Vilevi Hatari Kwa Watumiaji
Habari

Matumizi Holela Ya Vilevi Hatari Kwa Watumiaji

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Danson Kaijage.

DODOMA: MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la ViwangobTanzania ( TBS), Dkt. Ashura Katunzi amesema watumiaji wa vilevi huvitumia kiholela huku wakinywa kupita kiasi jambo linalofanya vionekane havina ubora.
Dkt. Katunzi amesema hayo alipokuwa akitoa taarifa za mafanikio kwa miaka minne  ya Rais Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Idara ya Habari -MAELEZO.
Amesema imebainika kuwa vinywaji vingi vikali havipo chini ya kiwango isipokuwa vichache vimekutwa vina kiwango cha chini cha kilevi tofauti na inavyotakiwa.
“Tumefanya ukaguzi katika maduka mengi ya vinywaji vikali imebainika kuwa vinywaji hivyo vingi vina ubora ila vichache havina ubora kutokana na kukutwa kiwango chake cha kilevi kipo chini tofauti na inavyotakiwa hivyo hapo inaonesha kuwa mlaji anakuwa amepunjwa kilevi,” amesema.
Amesema katika kipindi cha miezi sita iliyopita TBS imeteketeza bidhaa ambazo zipo chini ya kiwango zenye thamani ya kiasi cha Sh.Bilioni 1.5.
Amesisitiza kuwa Shirika hilo limekuwa likifanya kazi kubwa ya kuhakikisha viwango vya ubora wa bidhaa zinazotumiwa ni bora kwa walaji wa bidhaa hizo.
Katika hatua nyingine amesema kuwa Shirika hilo limekuwa likitenga kiasi cha Sh. Bilioni 350 kila mwaka kwa ajili  ya  kuwawezesha wajasiliamali wadogo

You Might Also Like

Serikali Yawapeleka Wauguzi 101 Nchini Saudi Arabia

Wakulima wafunzwa kuhusu mlipuko wa panya TPHPA

Kapinga Ahamasisha Wananchi Kushiriki Uchaguzi Serikali Ya Mtaa

Wafanyakazi Wakumbushwa Kujitokeza. Kwa Wingi Kupiga Kura

Toleo La Sheria Zilizotafsiriwa Kwa Kiswahili Kutoka Agosti

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kingoba : Sheria Inawataja Waliotoa Mchango Sekta Ya Habari Ambao Sio Waandishi Wa Habari
Next Article Rais TUCTA Apongeza Mfuko Wa NSSF Kwa Ongezeko La Thamani Hadi Trilioni 9
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NIT Yasema Ina Uwezo Wa Kufundisha Kozi Ya Urubani
Habari July 9, 2025
Katiba Na Sheria Kutoa Kipaumbele Kusikiliza Malalamiko Ya Wananchi
Habari July 9, 2025
Vumbi la Nyuki Lapewa Uzito Singida: Latajwa Tiba ya Asili Yenye Virutubisho 99
Habari July 9, 2025
Sirro: Kasulu Itambue Thamani ya Uwekezaji, Itenge Maeneo Rasmi
Habari July 9, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?