MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kilimo Yaomba Trilioni 1.24 Mwaka Wa Fedha 2025/26
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kilimo Yaomba Trilioni 1.24 Mwaka Wa Fedha 2025/26
Habari

Kilimo Yaomba Trilioni 1.24 Mwaka Wa Fedha 2025/26

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
3 Min Read
Na Danson Kaijage
WIZARA ya Kilimo imepanga kukusanya Sh. Bilioni  12.26 kupitia vyanzo mbalimbali vya mapato.
 Shilingi Bilioni 8.66  zitatokana na ukaguzi wa mazao, kodi za majengo na uuzaji wa nyaraka za zabuni, huku Sh. bilioni 3.6 zikipatikana kupitia ada za umwagiliaji na ukodishaji wa mitambo.
Wqziri wa Kilimo, Hussen Bashe ametoa kauli hiyo Bungeni Jijini Dodoma, Wakati akiwasilisha bajeti ya mapato na matumizi ya Wizara yake huku akiliomba Bunge liidhinishe matumizi ya jumla ya Sh. Trilioni 1.24 kwa mwaka huo wa fedha 2025/26
Waziri Bashe amesema  Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imewasilisha mpango wake wa makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/2026,
Amesema mpango huo unalenga  kuimarisha ajira staha kwa vijana na wanawake kupitia Programu ya Building a Better Tomorrow (BBT) pamoja na utekelezaji wa miradi mikubwa ya kilimo na miundombinu ya umwagiliaji.
Kuhusu miradi ya Maendeleo na Matumizi ya Kawaida, Wizara imeomba Sh.Bilioni 838.26, ambapo Sh.  Bilioni 702.28 zitatumika kutekeleza miradi ya maendeleo, zikiwemo Sh. Bilioni 424.33 kutoka vyanzo vya ndani na Sh. Bilioni 277.95 kutoka nje.
Fedha nyingine ni Sh. Bilioni 135.98 zitatumika kwa matumizi ya kawaida, ikiwa ni pamoja na Sh. Bilioni 81.45 kwa mishahara ya watumishi na Sh. Bilioni 54.54 kwa matumizi mengine ya wizara, bodi na taasisi zake.
Waziri Bashe amesema Tume ya Taifa ya Umwagiliaji inaomba kuidhinishiwa Sh. Bilioni 382.14, kati ya hizo Sh. Bilioni 308.72 ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo (zikiwemo Shi. Bilioni 259.62 kutoka ndani na Sh. bilioni 49.10 kutoka nje), na Shilingi Bilioni 73.42 kwa matumizi ya kawaida ambapo Sh. Bilioni 8.27 ni kwa ajili ya mishahara na Sh. Bilioni 65.15 kwa matumizi mengineyo.
Kuhusu Tume ya Maendeleo ya Ushirika, jumla ya Sh. Bilioni 22.58 zinaombwa, ambapo Sh. Bilioni 21.88 ni kwa matumizi ya kawaida (mishahara Sh. Bilioni 12.85, matumizi mengineyo Sh. Bilioni 9.03) na Sh. Milioni 697.18 kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa fedha za ndani.
Kwa upande mwingine Waziri huyo mwenye dhamana ya Kilimo amesema Ajira kwa Vijana na Wanawake Kwenye mashamba makubwa mbali na makadirio ya fedha, Serikali imeeleza maendeleo ya utekelezaji wa Programu ya BBT inayolenga kuimarisha ajira za vijana na wanawake kupitia miradi mitano.
Ameitaja miradi hiyo kuwa ni pamoja na mashamba ya pamoja, mitaji, huduma za ugani, uongezaji thamani wa mazao, na umwagiliaji,Shamba la Chinangali (ekari 1,772) limekabidhiwa kwa vijana 261 na linaendelea kuzalisha mazao mbalimbali.

You Might Also Like

Mkenda: Tunahitaji Ushirikiano Baina Ya Viwanda Na Wazalishaji

Majaliwa Ataka Yatolewe Mafunzo Yanayozingatia Soko La Ajira

Faru Weusi, Simba, Tembo Waongezeka Ngorongoro

Silaa: Akili Mnemba, Roboti kuongeza ufanisi,ubunifu 

Tanzania, Japan Kushirikiana Ukuzaji Ujuzi Kwa Vijana

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ulega : Nimeridhisha Na Hatua Iliyofikiwa, Ongezeni Kasi Zaidi
Next Article Wanaosimamia Mitandao Ya Serikali Wadhibiti Usalama Wake
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Habari October 17, 2025
Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?