MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kanisa CAG Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kanisa CAG Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025
Habari

Kanisa CAG Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DODOMA: KANISA la Mlima wa Nuru Calvary Assembeles of God (CAG) lililopo Chamelo Nzuguni B Jijini Dodoma limeanzisha maombi ya kimkakati kwa ajili ya kufanikisha Uchaguzi Mkuu wa amani na upatikanaji wa viongozi sahihi ifikspo Oktoba 2025.
Katibu wa Kanisa hilo, Dkt. Mussa Aliingonoti amesema hayo, wakati wa matangazo kwa waumini na kueleza kuwa ni wajibu wa kanisa kuliombea taifa hususani kwa kipindi ambacho kinaelekea katika uchaguzi mkuu.
Amesema kanisa hilo limekuwa na maombi ya kimkakati ikiwa ni pamoja na maombi ya kuliombea kanisa la mahali pamoja  na watumishi kwa ujumla sambamba na kuombea ujenzi wa kanisa linalotarajiwa kuanza hivi karibuni.
Dk.Alingiinoti amesema kanisa linalo wajibu mkubwa wa kuhakikisha linaomba kwa maana ya kuhusimika ufalme wa Mungu duniani kwa kuyaombea makundi mbalimbali pamoja na kuliombea taifa kwa ujumla wake ili kwa na viongozi sahihi ambao ni wacha Mungu.
“Kanisa la Mlima wa Nuru limeamua kuanzisha maombi ya kimkakati kwa nia ya  kuliombea kanisa na kuombea ujenzi wa kanisa jipya pamoja na kuliombea taifa na uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika mwaka huu  kwa nia ya kuwapata madiwani,wabunge na Rais pamoja na viongozi mbalimbali wa ngazi ya  kuchaguliwa.
“Kwa sasa tunaelekea katika maandalizi ya uchaguzi mkuu wa kuwapata viongozi wa kada mbalimbali na ili kupata viongozi walio wema na wenye sifa na wenye hofu ya Mungu ni lazima kufanya maombi kwa ajili ya kupata viongozi waliowacha Munu,” amesema.
Amehimiza waumini kufanya maombi kwa dhati ili kuliombea kanisa, jamii na taifa, kupata viongozi wenye hofu ya Mungu na wale ambao hawatakuwa kwazo kwa taifa.

You Might Also Like

Wafanyakazi waitwa kupeleka changamoto za kikazi CMA

TARI Yaja Na Jawabu 88 Juu Ya Tindikali, Chumvi Kwenye Udongo

TPHPA Kuipokea Ndege Yake

Wanafunzi Wawili Wajiteka Ili Wapate Pesa Toka Kwa Wazazi wao

Polisi Yatoa Onyo Kali Kwa Waganga wa Tiba Mbadala

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kikwete: Waambieni Tunataka Maendeleo Sio Maneno
Next Article Rais Samia Aridhia Malipo Ya Fidia Barabara Ya Afrika Mashariki
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nchimbi Ahimiza Ushirikiano wa Wizara Katika Uhifadhi wa Mazingira
Habari March 10, 2026
Mtaka, Ndunguru Wakubaliana Ujenzi wa Maabara ya Kimkakati Njombe
Habari March 10, 2026
Wataalamu wa Fedha SADC Wakutana Pretoria Kujadili Bajeti
Habari March 9, 2026
TASFAM Yawawezesha Wanawake wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Kuadhimisha Siku ya Mwanamke
Habari March 9, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?