MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Italia Yahimiza Ubunifu Wa Bidhaa Za  Sanaa Za Vioo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Italia Yahimiza Ubunifu Wa Bidhaa Za  Sanaa Za Vioo
Habari

Italia Yahimiza Ubunifu Wa Bidhaa Za  Sanaa Za Vioo

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
BALOZI wa Italia nchini Tanzania Giuseppe Sean Coppola amesema ubunifu wa bidhaa mbalimbali ni jambo muhimu linalohusisha urithi, utamaduni na historia ya Taifa.
Amesema ubunifu ni sehemu ya kuoneshwa uzuri wa bidhaa zinazozalishwa nchini lakini pia huleta faraja.
Balozi Coppola amesema hayo Dar es Salaam wakati  Italia ikiadhimisha miaka 10 ya ubunifu  ambayo imetumika kuzindua na kuonesha bidhaa mbalimbali za kibunifu za vioo zinazozalishwa na kampuni ya  Rangi Gallery ya jijini Arusha.
Habari Picha 11613
Amesema  mpango wa maonesho hayo ya kibunifu umekuzwa na viongozi wa Italia lengo likiwa ni kuonesha muundo wa nchi hiyo na bidhaa zinazozalishwa.
 
“Bila shaka, Italia ni nchi muhimu sana katika suala la uzalishaji na asili ya usanifu, haswa ikiwa na mkusanyiko maalum katika mji wa  Milan, ambao ni Maalum Kwa  usanifu barani Ulaya” amesema
Habari Picha 11615
,Amesema maadhimisho hayo Yana kauli mbinu  ya  kubuni upya, kuunda upya na kubuni  mawazo up ya , nafasi na uhusiano na vitu.
Kuhusu Rangi Gallery amesema wameingia makubaliano  kuonesha uzalishaji wa mradi huo wa bidhaa za viooambao ujuzi  umechukuliwa kutoka Murano.
Habari Picha 11617
“Tuna watu, watu mahiri, mafundi wanaotengeneza vioo ambao walikuja hapa Novemba jijini Arusha wakiwafundisha watu huko jinsi ya kuunda vitu zaidi na ufundi mzuri zaidi wa mikono kwa kutumia mbinu maalum ikihusisha takataka,” amesema na kuongeza kuwa Italia inaunga mkono mradi huo kwa sababu ni muhimu sana kutoka kwa mtazamo wa mazingira na kijamii.
Mkurugenzi wa Rangi Gallery,Nona Mashiba wanashirikiano na WA Italiano kutengeneza bidhaa hizo zitokanazo na takataka za vioo na chupa na kuunda vitu vizuri na vya kitofauti.
Habari Picha 11614
Amewataka wabunifu na wasanii wa aina  mbalimbali kujitokeza na kushiriki kuunda bidhaa hizo ambazo ni za kipekee .

You Might Also Like

SOKO LA MADINI LA 43 LA ZINDULIWA TUNDURU RUVUMA.

TUGHE, DMF wateta na Ridhiwan Kikwete

Petroli Yaendelea Kushuka Bei Desemba

Tanzania Yaibuka Kidedea Maonesho Zambia

Serikali kushirikiana na Wadau usimamizi Taka za Plastiki

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Randama Ya Maji 2026/27 Yaidhinishwa
Next Article Upungufu wa Wataalamu wa Ustawi wa Jamii Wachangia Changamoto Kwenye Huduma za Jamii
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Upungufu wa Wataalamu wa Ustawi wa Jamii Wachangia Changamoto Kwenye Huduma za Jamii
Habari March 28, 2026
Randama Ya Maji 2026/27 Yaidhinishwa
Habari March 27, 2026
PBPA Yaagizwa Kuharakisha Upokeaji Na Usambazaji Wa Mafuta Nchini
Habari March 26, 2026
UNFPA,Wadau Washauri Kuimarisha Usalama Wa Kidigitali Kukabiliana na Ukatili Wa Jinsia Mtandaoni
Habari March 26, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?