MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: CCM Yasitisha Ratiba ya Uchaguzi wa Maoni
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > CCM Yasitisha Ratiba ya Uchaguzi wa Maoni
Habari

CCM Yasitisha Ratiba ya Uchaguzi wa Maoni

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
  • Wagombea Watakiwa Kuvuta Subira
Na Danson Kaijage
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimeahirisha rasmi mchakato wa kuwateua wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani, mchakato uliokuwa umepangwa kufanyika leo Julai 19, sasa ukisogezwa mbele hadi Jylai 28, mwaka huu 2025.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi,  Amos Makala alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo.
Ameeleza kuwa hatua hiyo imechukuliwa ili kutoa muda wa kutosha kwa chama kufanya uchambuzi wa kina kwa kila mgombea kutokana na idadi kubwa ya waliotangaza nia ya kugombea nafasi hizo.
“Tumelazimika kusogeza mbele ratiba hii kwa sababu ya wingi wa waombaji. Tunataka tuhakikishe tunafanya kazi ya uchambuzi kwa makini, kwa haki na kwa kuzingatia sifa stahiki za wagombea wote,” amesema.
Kwa mujibu wa Katibu huyo, kabla ya kufanyika kwa kura za maoni mnamo Julai 28,, kutatanguliwa na vikao muhimu vya uongozi wa juu wa chama.
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kinatarajiwa kufanyika Julai 26 , na siku hiyo hiyo kufuatiwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho.
Aidha, Makala amewataka wagombea wote waliokwisha tangaza nia kuwa watulivu na kuendelea kufuata taratibu za chama huku wakijiepusha na kampeni za mapema au vitendo vya uchochezi vinavyoweza kuvuruga utaratibu wa chama.
“Ni vyema wagombea wakaonesha uvumilivu na nidhamu ya hali ya juu. CCM ni chama kinachoongozwa na misingi ya haki, hivyo kila mtu atapata nafasi yake ya kusikilizwa kwa mujibu wa kanuni,” amesema.
Kwa sasa, chama hicho kinasisitiza kuwa kinaendelea na kazi ya kuhakiki majina ya waombaji wote katika ngazi mbalimbali, kuhakikisha wagombea watakaopitishwa ni wale wenye uwezo, uadilifu na wanaokubalika kwa wananchi.

You Might Also Like

Tumeridhika na kazi za TTCL – Mwanaisha

Tanzania Yapiga Hatua Kwenye Elimu ya Kidijitali Kupitia Ushirikiano na China

Kagera, Geita kuanza uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura

Kilimo Yaomba Trilioni 1.24 Mwaka Wa Fedha 2025/26

Mbunge Kuchauka azindua kambi kuhamasisha Uchaguzi Serikali za  Mitaa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Uvuvi Wa Kisasa Wainua Mwanza Kiuchumi
Next Article Afya Bora Yachochea Ustawi wa Wananchi Kigoma
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari January 9, 2026
Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Habari January 9, 2026
Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Habari January 8, 2026
TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Habari January 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?