MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: BRELA Yatwaa Tuzo Sabasaba
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > BRELA Yatwaa Tuzo Sabasaba
Habari

BRELA Yatwaa Tuzo Sabasaba

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Lyatuu
WAKALA wa Usajili wa Biashara na leseni (BRELA) wameibuka washindi wa kwanza wa jumla na kupewa tuzo katika kundi la  Uwezeshaji wa Biashara na Uwekezaji katika maonesho ya 49 ya Biashara ya  Kimataifa yanayofanyika Dar es salaam.
Brela iliibuka mshindi wa kwanza Julai 7,2025  katika ufunguzi wa maonesho hayo yaliyofunguliwa na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt  Hussein Mwinyi.
Seka Kasera Meneja wa alama za Biashara ambaye alikuwa akikaimu nafasi ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Brela amewashukuru watumishi wenzake wa berla kwa ushirikiano waliouonesha katika maonesho hayo hadi kuibuka washindi na kupata tuzo hiyo.
”Tunawahakikishia wateja wetu tutaendelea kuwahudumia Wananchi hata nje ya sabasaba hivyo wateja wetu wasiwe na wasiwasi” amesema Kasera.
Amewataka wananchi waendelee kuja katika maonesho ya sabasaba kwani usajili unafanyika wa papo kwa hapo na wateja wote watahudumiwa kwa kadiri itakavyotakiwa.
”tuzo hii hatukupata kwa bahati mbaya, tulistahili kwani watumishi wenzangu wa Brela walianza kuwahudumia wateja tangu siku ya kwanza katikla maonesho hayo mpaka leo wateja walikuwa wakimiminika  kupatiwa huduma”, amesema Kasera”

You Might Also Like

Maboresho Mfumo wa Sheria Zinazosimamia Uwekezaji Kuchochea Uwekezaji Nchini

NIT yawapika vijana

Sera mpya ya biashara irahisishe ufanyaji biashara

Mdemu Azindua Utafiti Uliofanywa na FES Kwa Kushirikiana Na COTWU – T

Wafanyakazi Wakumbushwa Kujitokeza. Kwa Wingi Kupiga Kura

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article UDSM  Yakamilisha Utafiti Wa Dawa Ya Kusafisha Sumu Kwenye Maji
Next Article TEA Yaweka Mikakati Madhubuti Kukuza Mafunzo ya Amali Nchini
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TEA Yaweka Mikakati Madhubuti Kukuza Mafunzo ya Amali Nchini
Habari July 11, 2025
UDSM  Yakamilisha Utafiti Wa Dawa Ya Kusafisha Sumu Kwenye Maji
Habari July 11, 2025
Rafiki Planter’Teknolojia Rahisi, Tija Kubwa”
Habari July 11, 2025
Wazalishaji, Waagizaji Mbolea Watakiwa Kuzingatia Afya ya Udongo kwa Tija ya Kilimo
Habari July 11, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?