MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Baraza La Mawaziri La SADC Lahitimisha Kikao Chake Jijini Antananarivo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Baraza La Mawaziri La SADC Lahitimisha Kikao Chake Jijini Antananarivo
Habari

Baraza La Mawaziri La SADC Lahitimisha Kikao Chake Jijini Antananarivo

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
BARAZA la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) limehitimisha Kikao chake cha Kawaida jijini Antananarivo, Madagascar, Agosti 14, mwaka huu 2025.
Kikao hicho ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC.
Habari Picha 8905
Ujumbe wa Tanzania uliwakilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Balozi Mahmoud Thabit Kombo.
Katika kikao hicho, Madagascar ilipokea rasmi Uenyekiti wa SADC kutoka Zimbabwe. Mawaziri walijadili ajenda mbalimbali zenye lengo la kuimarisha ushirikiano na mtangamano wa kikanda, ambao umetajwa kuwa njia muhimu ya kufanikisha maendeleo endelevu kwa nchi wanachama.
Habari Picha 8906
Miongoni mwa ajenda zilizojadiliwa ni pamoja na hali ya michango ya nchi wanachama na taarifa ya utekelezaji kutoka kwa Katibu Mtendaji wa SADC, Elias Magosi, kuhusu masuala ya uchumi, siasa, amani na usalama;
Pia utekelezaji wa maagizo ya Baraza la Mawaziri pamoja na maamuzi ya Wakuu wa Nchi na Serikali; hali ya kuridhiwa kwa itifaki na nyenzo nyingine za kisheria za SADC; pamoja na ajenda zitakazowasilishwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali.
Mikutano ya SADC itaendelea Agosti 15, 2025 kwa Mkutano wa Utatu wa Makatibu Wakuu na Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama, na kufuatiwa na Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Asasi hiyo Agosti 16, mwaka huu 2025.
Habari Picha 8907
Tanzania inashikilia Uenyekiti wa mikutano hiyo ya Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama.
Habari Picha 8908

You Might Also Like

TAKUKURU, Manispaa Ubungo Yawafikia Waendesha Bajaji, Bodaboda

TASAC yajipanga kuhudumia wafanyabiashara

TIB Yaanda Mkakati Kabambe Wanawake Kuchangamkia Fursa

OCPD Nguzo Kuu ya Utungaji Sheria – Dkt. Ndumbaro

TUCTA: Vijana Ni Nguvu Kazi Ya Taifa, Watumie Fursa Kujijenga

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Vijana wa China Waisimulia Afrika Kupitia Video Fupi”
Next Article Nchi Za SADC Zahimizwa Kutunza, Kulinda Amani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Habari October 17, 2025
Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?