MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: AU yataka vyombo vya habari Afrika, kulinda Uhuru wa vyombo vya habari 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > AU yataka vyombo vya habari Afrika, kulinda Uhuru wa vyombo vya habari 
Habari

AU yataka vyombo vya habari Afrika, kulinda Uhuru wa vyombo vya habari 

Author
By Author
Share
3 Min Read
Mwandishi wetu. Senegal
UMOJA wa Afrika (AU), umeviomba vyombo vya habari Barani Afrika kuandika vizuri  habari za Afrika ikiwepo masuala ya uhamaji wafanyakazi ndani ya Afrika na nje ya Afrika.
Kumekuwepo na ongezeko la uhamaji wa wafanyakazi  kutoka watu 17.2 millioni mwaka 2010 hadi  kufikia watu 26.3 millioni mwaka 2019.
Uhamaji huo wa wafanyakazi umeingiza mapato ya fedha za kigeni katika nchi za Afrika kutoka dola billion 55 mwaka 2010 hadi kufikia dola billion 86.4 mwaka 2019 hata hivyo kumekuwepo na upotoshwaji wa jambo hili hasa na vyombo vya habari vya nje.
Akizungumza katika warsha ya siku tatu ya kuwajengea uwezo viongozi wa wafanyakazi katika vyama vya waandishi wa habari Afrika, Wahariri na Waandishi waandamizi inayoendelea  Dakar nchini Senegal,
Mkuu wa Kitengo cha Kazi, Ajira na Uhamaji katika Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dk Sabelo Mbokazi amesema vyombo vya habari vya Afrika vina wajibu  kueneza ujumbe halisi kuhusu umuhimu wa uhamaji katika maendeleo ya nchi za Afrika.
Amesema kwa sasa kutokana na ukuaji wa teknolojia  Duniani kumekuwepo na ongezeko la habari za uongo na upotoshwaji kuhusu bara la Afrika.
“Nyie kama viongozi wa wanahabari Afrika mnawajibu kusaidia kuandika mambo yenye manufaa kwa Afrika,” amesema.
Dk Mbokazi, pia alitoa wito kwa Waandishi wa Habari kuchukua jukumu kubwa katika kuhakikisha Kunakuwepo na mazingira bora ya Uhamiaji wa kazi barani Afrika.
Rais wa Shirikisho la Waandishi wa Habari Afrika (FAJ) Omar Faruk Osman amesema watendaji wa vyombo vya habari wanapaswa kutumia wingi wa vyanzo vyao ili kufichua ukiukaji wa kazi na kuboresha utawala wa Uhamaji wa Wafanyakazi barani Afrika.
Osman amesema, viongozi wa vyama vya wafanyakazi na wanahabari wanapaswa pia kuhamasisha waafrika kufanya kazi zenye staha nje ya nchi zao,kulipwa vizuri lakini kulindwa kwa haki zao.
Akitoa Takwimu juu ya uhamiaji wafanyakazi ndani ya Afrika na nje ya Afrika, Ofisa wa takwimu, katika kitengo Cha uhamaji wafanyakazi wa Umoja wa Afrika, Brian Okengo amesema kumekuwepo na ongezeko la uhamiaji wafanyakazi katika utafiti ambao umefanywa kuanzia mwaka 2010 hadi 2019.
Awali akifungua warsha hiyo, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Serikali ya Senegal, Ousseynou Dieng kwa niaba ya Waziri wa wa Mawasiliano, alitaka waandishi barani Afrika kuungana kuandika vizuri bara la Afrika.

You Might Also Like

Profesa Kabudi Atoa Maagizo Mazito Bodi Ya Ithibati Ya Waandishi Wa Habari

Wizara ya Nishati Yajivunia Jitihada Katika Kulinda Haki, Usawa na Kuwawezesha Wanawake

Ununuzi Wa Ndege Anga Za Kilimo Uanze Sasa-Bashe

TRA: Serikali imemgusa mkulima kupitia mabadiliko ya sheria

TASAC yahadharisha wavuvi, wasafirishaji majini kuhusu upepo mkali

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Marekebisho ya sheria huangalia mazingira ya sasa na yajayo – Tume
Next Article Serikali imejipanga Mkakati wa Taifa wa Matumìzi ya nishati safi ya kupikia – Mramba
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?