MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Aliyeachishwa kazi kulipwa miezi 12, stahiki nyingine
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Aliyeachishwa kazi kulipwa miezi 12, stahiki nyingine
Habari

Aliyeachishwa kazi kulipwa miezi 12, stahiki nyingine

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
OFISA Mfawidhi Dar es Salaam kutoka Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Yohana Massawe amesema endapo mwajiri hatakuwa tayari kumrudisha kazini mfanyakazi, sheria inamtaka kulipa fidia ya mishahara ya miezi 12.
Ikiwa ni pamoja na mishahara ambayo mfanyakazi hakulipwa tangu kuachishwa kazi mpaka siku ya kulipwa.
Massawe amesema hayo alipozungumza na Mwandishi wa Mfanyakazi kuhusu namna CMA inavyoshughukikia migogoro ya kikazi.
Amesema katika hilo sheria itachukua mkondo wake kama upande wa utetezi utaonyesha mwajiriwa ana haki hiyo.
Amesema mbali na mwajiri kumlipa mfanyakazi miezi 12, anapaswa kumlipa mishahara kwa kipindi chote alichokuwa ameachishwa kazi , mpaka atakapolipwa na haki nyingine ambazo sheria inaainisha kwa mfanyakazi aliyeachishwa kazi.
“Kinachotakiwa wakati wanapatana yale mapatano yawe ya wazi kwamba kama wanarudi ni kwa utaratibu upi, na kama kuna stahiki wanazopaswa kupewa kwa kipindi walichokuwa nje, lazima makubaliano yawe wazi ” amesema.
Amesema inapotokea mfanyakazi hakurudishwa kama walivyokubaliana kinachotakiwa kufanywa ni kuomba utekelezaji, na anayefanya utekelezaji ni Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi.
“Kwa hiyo anatakiwa kuwasilisha maombi ya utekelezaji ya yale makubaliano mbele ya Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi ambao watachukua hatua kuhakikisha kila mtu anapata haki yake,” amesema.
Awali amesema makubaliano yàliyofikiwa baina ya  mwajiri na mwajiriwa mbele ya CMA yasipotekelezeka, basi mshinda tuzo hupeleka mbele ya Màhakama Kuu Divisheni ya Kazi kwa ajili ya maombi ya kukazia makubaliano hayo.

You Might Also Like

Wahamasika Kutumia Mbegu Bora Za Karanga Zilizofanyiwa Utafiti Na TARI

TPHPA yakusanya zaidi ya sampuli 10,000 za mbegu asili

Tume ya Kurekebisha Sheria Yatoa Onyo Kali kwa Wanaovunja Sheria za Umwagiliaji

Dkt. Komba: Mfumo wa kidijitali utaleta tija kwa mkulima

Serikali Kulinda Wabunifu Wa Silaha

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wafanyakazi waitwa kupeleka changamoto za kikazi CMA
Next Article Rais Samia aweka Jiwe la Msingi kwenye mradi wa Suluhu Sports Academy
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari January 9, 2026
Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Habari January 9, 2026
Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Habari January 8, 2026
TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Habari January 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?