MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mgombea Urais CHAUMMA Ahaidi Soko La Kisasa Feri
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mgombea Urais CHAUMMA Ahaidi Soko La Kisasa Feri
Habari

Mgombea Urais CHAUMMA Ahaidi Soko La Kisasa Feri

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM: Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim, amesema atajenga Soko la Kisasa la Kimataifa katika eneo la Feri.
Akizungumza na wafanyabiashara na wachuuzi wa soko la Kivukoni, amesema kuwa pamoja na kujenga soko hilo, ataweka utaratibu wa ruzuku ili waweze kuendesha vizuri biashara zao.
Habari Picha 9770
“Tutajenga soko jipya la kimataifa… lakini tutaanza kuboresha soko ili kwanza hakuna kinachoshindikana. Ninaomba mtuamini,” amesema.
Aidha, amesema atajenga viwanda vya uchakataji wa minofu ya samaki ili vijana waweze kupata ajira.
Amewataka wananchi kushiriki uchaguzi kwa kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu na siyo kususia. Mwalim aliwataka kupiga kura ya ukombozi kwa kukichagua CHAUMMA, akisema kuwa CCM haina huruma na Watanzania.
Habari Picha 9771
“Najua hapa siongei na wachuuzi wa samaki peke yao, wote mnajua kuwa changamoto ni nyingi sana jijini Dar es Salaam… sasa twendeni tukapige kura ya ukombozi,” amesisitiza.
Naye mgombea nafasi ya Makamu wa Rais kupitia CHAUMMA, Debotha Minja, aliwataka wananchi kufanya maamuzi ya kukichagua chama hicho ili ushuru wa soko la samaki utekeleze wajibu wake ipasavyo.

You Might Also Like

TSB yaanzisha ‘special’ Mkonge BBT

BRELA kuanza kuwasajili wakulima

JAB Yatoa Mwezi Moja Kuthibitishwa, kupewa vitabulisho

Rais Samia Ameweka Alama Kwa Watumishi Wa Magereza Arusha,Awagawia Mitungi 528

Rais CWT Asikitishwa Na Uzembe, Maofisa Wa Halmashauri

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article China, Tanzania Zaendeleza Uhusiano Kupitia Tamasha La Kitamaduni
Next Article TTCL Yawahakikishia Wateja  Miundombinu Yenye Kuboresha Maisha Yao
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Madaktari Kutoka Ireland Watoa Matibabu Ya Mifupa Kwa Watoto MOI
Habari October 20, 2025
Mwalim: Nikichaguliwa urais, Kigaila atakuwa Waziri Mkuu wangu
Habari October 20, 2025
ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?