MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kingalame Aitaka Sekta Binafsi Kushirikiana na TBA Kukamilisha Mradi wa Makazi Geita
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kingalame Aitaka Sekta Binafsi Kushirikiana na TBA Kukamilisha Mradi wa Makazi Geita
Habari

Kingalame Aitaka Sekta Binafsi Kushirikiana na TBA Kukamilisha Mradi wa Makazi Geita

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
GEITA: MKUU wa Wilaya ya Nyang’hwale, Grace Kingalame, ametoa wito kwa sekta binafsi kuchangamkia fursa ya kushirikiana na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ili kuhakikisha mradi mkubwa wa makazi ya biashara unaoendelea mkoani Geita unakamilika kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa.
Ametoa wito huo alipofanya ziara katika maonesho ya nane ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Bombambili, Geita,
Akiwa katika banda la TBA,  Kingalame amesifu ubunifu wa TBA kwa kuanzisha mradi huo ambao unalenga kuboresha hali ya makazi kwa wananchi na watumishi wa umma.
“Ni wazo bora sana ambalo linatafsiri kwa vitendo maono ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha Watanzania wanapata makazi bora. Tunahitaji sekta binafsi kujitokeza kushirikiana na TBA ili tufanikishe kwa pamoja,” amesema Kingalame.
Ameongeza kuwa mradi huo ukikamilika utaleta manufaa makubwa kwa jamii kwa kuwa utasaidia kupunguza changamoto ya upatikanaji wa makazi bora kwa wananchi na watumishi wa serikali.
“Makazi haya yataleta raha na utulivu kwa wananchi na watumishi. Hii ndiyo tafsiri halisi ya dhamira ya Rais Samia ya kuona wananchi wake wanaishi katika mazingira mazuri na ya kisasa,” amesema.

You Might Also Like

Vyuo vya Kilimo vishirikishwe mradi wa BBT

Asilimia 86.2 ya Wanawake  wanajishughulisha na shughuli za madini

Kifo cha Ndugai Kisigeuzwe Siasa – Familia

Biteko Agongea Msumari Elimu Ya Ufundi Stadi

Dkt. Mpango: Tumuige Nyerere kwa Kulinda Amani, Uhuru na Maadili ya Taifa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TARURA Yatenga Milioni 580 Kuboresha Barabara Zinazohudumia Sekta ya Madini Geita
Next Article Mgombea Urais wa CHAUMMA Atangaza Mpango wa Kunusuru Kilimo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Madaktari Kutoka Ireland Watoa Matibabu Ya Mifupa Kwa Watoto MOI
Habari October 20, 2025
Mwalim: Nikichaguliwa urais, Kigaila atakuwa Waziri Mkuu wangu
Habari October 20, 2025
ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?