MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mama Janeth Magufuli Atembelea Banda La Ofisi Ya Waziri Mkuu Sabasaba
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mama Janeth Magufuli Atembelea Banda La Ofisi Ya Waziri Mkuu Sabasaba
Habari

Mama Janeth Magufuli Atembelea Banda La Ofisi Ya Waziri Mkuu Sabasaba

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Lyatuu
MKE  wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametembelea banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama sabasaba yanayoendelea  Dar es Salaam na kupokelewa na viongozi wa ofisi hiyo.
Akiwa katika banda hilo, Mama Janeth amepokelewa na kutembelea kuona namna Ofisi ya Waziri Mkuu inavyohudumia wananchi kupitia Idara, Vitengo pamoja na Taasisi zake.
Aidha, miongoni mwa huduma zinazotolewa na ofisi hiyo ni pamoja na elimu ya masuala ya menejimenti ya maafa, shughuli za Wakala wa Kupigachapa Mkuu wa Serikali, Baraza la Taifa la Biashara, Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, elimu ya masuala ya Vyama vya Siasa Nchini.
Huduma nyingine ni  masuala ya VVU na Ukimwi, Usalama na Afya Mahala Pa Kazi, Masuala ya Watu Wenye Ulemavu, programu ya ASDP II, fursa za vijana pamoja na huduma zinazotolewa na  NSSF, PSSSF, WCF na CMA.

You Might Also Like

TPHPA Tuna Mchango Mkubwa Katika Utoshelevu Wa Chakula – Ndunguru

Uteuzi: Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Kigae: Mwigulu Waziri Mkuu Mahiri

Sekta Binafsi Zazuia Wafanyakazi Kujiunga Na Vyama Vya Wafanyakazi

Changamoto ya uelewa mwiba kwa wasafirishaji Comoro

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article PURA Yajivunia Agenda Ya Matumizi Ya Nishati Safi
Next Article Wanafunzi, Watafiti, Wanataaluma Kujadili Dini, Utamaduni na Maisha ya Kisasa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mita  Janja Zazinduliwa,  Tanesco  Yatakiwa Kuzisambaza Nchi Nzima
Habari December 5, 2025
DIT Andaeni Taarifa  Itakayowezesha Wanafunzi Kupelekwa Nje Kujifunza-Mkenda
Habari December 5, 2025
Msama Aipongeza Hotuba Ya Samia, Atoa Neno Kwa Vijana, Wazee, Wanaharakati
Habari December 4, 2025
Profesa Silayo Aaga, Jawara Kuchukua Uongozi Mpya wa AFWC25
Habari December 3, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?