MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: VETA Dodoma Waleta Mashine Kurahisishia Upekechuaji Wa Alzeti
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > VETA Dodoma Waleta Mashine Kurahisishia Upekechuaji Wa Alzeti
Habari

VETA Dodoma Waleta Mashine Kurahisishia Upekechuaji Wa Alzeti

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Lyatuu
CHUO Cha Mafunzo ya Ufundi Stadium VETA Dodoma wamebuni mashine inayorahisisha namna ya zao la alzeti linavyoweza kupekechuliwa kwa urahisi na kwa haraka.
Mkufunzi Wa VETA Dodoma, Hilary Nkwera amesema hayo wakati akizungumza na MFANYAKAZI katika Banda la VETA lililoko katika maonesho ya 49 ya biashara ya kimaraifa maarufu kama sabasaba yanayoendelea Dar es Salaam.
Amesema mashine hiyo ina uwezo Wa Kufanya kazi kwa saa sita bila kupumzuka na kuchakata alzeti gunia 30-35.
“Inatumia mfumo Wa injinibya peteoli kwa sababu mashamba mengi ya Wakulima Wa zao hili yako mje yaji na Ili kumrahisishia mkulima afanye kazi kwa ufanisi na  kufikisha bidhaa yake sokoni kwa uhakika,” amesema.
Amesema asilimia kubwa ya Wakulima hupata Changamoto ya namna ya kupekechua alzeti ambapo mara nyingi hutumia fimbo kupigapiga zao hilo.
Nkwera anaiomba serikali kuongeza nguvu kwa VETA Ili vijana wengi waweze kuongeza Ujuzi ambao ni muhimu katika kuisaidia jamii.

You Might Also Like

Bodi ya Bima ya Amana Yatoa  Bil 9.07 , Fidia Kwa Wateja Wa Benki Saba   Zilizofilisika

Asilimia 86.2 ya Wanawake  wanajishughulisha na shughuli za madini

Rais Samia Kushiriki Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi Ethiopia

TEN/MET, LHRC Zataka Iwekwe Marufuku Matumizi Ya Viboko

TPHPA yaonyesha ufanisi mkubwa udhibiti wa panya, kwelea kwelea

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA Shinyanga Waja Na Mafunzo Ya Saluni, Mapambo, Urembo
Next Article Wanufaika wa SDF Waeleza Mafaniko Waliyoyapata
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yazindua Mafunzo Ya Mtandao Ya Afya Moja
Habari July 16, 2025
Watu Zaidi Ya 3500 Wapatiwa Huduma Ya Kisheria Wizara Ya Katiba Na Sheria
Habari July 16, 2025
Ubunifu Na Kufanya Tafiti Kwawezesha UDOM Kupokea Tuzo
Habari July 16, 2025
Utafiti Wa Nguvu Kazi, Mapato Ya Kaya Kutoa Taswira Mpya Ya Maendeleo
Habari July 15, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?