MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Askofu Akemea Midoli Kuvishwa Nguo Za Ndani
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Askofu Akemea Midoli Kuvishwa Nguo Za Ndani
Habari

Askofu Akemea Midoli Kuvishwa Nguo Za Ndani

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage.
ASKOFU wa Kanisa la Baptisti Jimbo la Kati, Anthony Mlyashimba amekemea mmomonyoko wa maadili unaofanywa na wafanyabiashara wanaotumia midoli yenye maumbile ya kike kuivalisha nguo za ndani, kuifunga shanga kisha kuiweka hadharani.
Mlyashimba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Madhehebu katika Mkoa wa Dodoma,  amesema wafanyabiashara wengi wa nguo za kike wamekuwa wakifanya hivyo sio kuchangia mmonyoko wa maadili lakini pia inadhalilisha utu wa mwanamke au mwanaume.
Ameshauri serikali kupitia wizara zake zinazohusika iangalie namna nzuri ya wafanyabiashara kuweka biashara zao lakini siyo kutumia hiyo midoli.
“Kwa hivi sasa ni aibu kutembea na mtoto ,mama Mkwe au baba mkwe kupitia kwenye maduka ya nguo kutokana na midoli ambayo imevalishwa nguo za aibu hususani za nguo za ndani.
“Kutokana na hali hiyo Serikali inatakiwa kuona namna ya kupambana na hali hiyo ili kuendeleza maadili ya kitanzani badala ya kuyabomoa kwa kupitia mambo ambayo yanaonekana kama ni ya kawaida,” amesema.
Pia amewataka wazazi na walezi kukaa karibu na watoto wao kwa nia ya kuzungumza nao na kujua changamoto mbalimbali wanazokutana nazo ili waweze kuwajenga kimaadili.

You Might Also Like

Mkenda: Tunahitaji Ushirikiano Baina Ya Viwanda Na Wazalishaji

Mfumo Wa KieletronikiWa Albino Kurahisisha Kuwatambua – Ridhiwani

TARURA Yaunganisha Vijiji Vya Ifinisi, Kambanga na Bugwe Wilayani Tanganyika

Ridhiwani, Ulega Washiriki Maulid Ya Kumswalia Mtume Muhammad

Wananchi Uyui Wafurika Kumsubiri Mgombea Urais CCM

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wananchi Wahimizwe Ulipaji Kodi Kimtandao – Nyongo
Next Article China Yaendelea Kunufaisha Afrika, Wakati Marekani Ikikatiza Uwekezaji Katika Bara Hilo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Madaktari Kutoka Ireland Watoa Matibabu Ya Mifupa Kwa Watoto MOI
Habari October 20, 2025
Mwalim: Nikichaguliwa urais, Kigaila atakuwa Waziri Mkuu wangu
Habari October 20, 2025
ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?