MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: BRELA Yaja Na Mfumo BOS Uliounganisha Mifumo Yote
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > BRELA Yaja Na Mfumo BOS Uliounganisha Mifumo Yote
Habari

BRELA Yaja Na Mfumo BOS Uliounganisha Mifumo Yote

Author
By Author
Share
1 Min Read

 

Na Lucy Lyatuu

WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA). Umekuja na  mfumo mpya ulioboreshwa ‘Brela Online Service’ ambao umeunganisha mifumo yote inayotolewa na Brela.

Akizungumza na waandishi wa habari katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba, Ofisa Leseni kutoka BRELA Sweetness Madata amesema mfumo huo umeanza kutumika mwezi Machi 2026.

Amesema kuwa mfumo huo umeweza kurahisha utendaji kazi katika shughuli za usajili kutokana na umaalum wake wa kuunganisha mifumo yote inayotoa huduma hapo.

Amefafanua kuwa mfumo huo wa BOS unasajili makampuni, utoaji wa leseni wa biashara kundi A, usajili wa viwanda.

Pia amewataka wahitaji wafike katika banda hilo ili waweze kupata huduma mbalimbali kwa urahisi papo kwa papo hakuna mzunguko.

You Might Also Like

SPIKA asisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 

Makala: Hakuna Kupita Bila Kupingwa

PSSSF sasa kidijitali

Kuhusisha Wanafunzi Matukio Ya Kisayansi, Kunawafanya Waipende 

Katambi Ahimiza Udhibiti wa Bidhaa Duni, Jamii Yatakiwa Kutumia Huduma za TBS

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Misitu Ni Moyo Wa Maendeleo Endelevu-TFS
Next Article Ruhuka: Mdudu Anayetishia Zao la Kahawa, TARI Yaja na Suluhisho
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Ruhuka: Mdudu Anayetishia Zao la Kahawa, TARI Yaja na Suluhisho
Habari July 12, 2026
Misitu Ni Moyo Wa Maendeleo Endelevu-TFS
Habari July 12, 2026
Profesa Nagu Aridhishwa Na Huduma Katika Banda Jumuishi La Ofisi Ya Waziri Mkuu Sabasaba 
Habari July 12, 2026
JAB Yazindua Mwongozo Wa Kisheria Wa Utoaji Ithibati Ya Maisha Kwa Wanahabari Wakongwe
Habari July 12, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?