MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Habari

Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
RORYA, MARA:  MGOMBEA Urais wa NCCR-Mageuzi, Ambar Haji Khamis, amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, akisisitiza kuwa ndio njia halali ya kubadilisha uongozi usiofaa.
Akizungumza na wakazi wa Rorya, Khamis amesema wananchi wasikubali kushawishiwa na propaganda zinazolenga kuwazuia kushiriki uchaguzi, kwani kufanya hivyo ni kuikataa haki yao ya kikatiba.
“Ni wajibu wa kila mmoja kutumia kura yake kwa uadilifu ili taifa lipate viongozi wenye maadili, uwajibikaji na uchungu wa kweli kwa maendeleo ya Watanzania,” amesema Khamis.

You Might Also Like

Serikali Sekta Binafsi Kuimarisha Huduma Za Fedha Nchini

TAWA Ni Mahali Sahihi Pa Uwekezaji  – Maganja

Trilioni 1.2 Kumaliza Tatizo la Maji Dar

Rais Mwinyi adhamiria kusimamia ubora wa bidhaa

Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Next Article Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Habari October 17, 2025
Serikali Yapeleka Sh Bil 10 Kwa Kiwanda Cha Viuadudu Cha TBPL
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?