MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: PPAA Yazuia Utoaji Wa Tuzo Za Zabuni 43
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > PPAA Yazuia Utoaji Wa Tuzo Za Zabuni 43
Habari

PPAA Yazuia Utoaji Wa Tuzo Za Zabuni 43

Author
By Author
Share
2 Min Read
  • Na Lucy Lyatuu,Dodoma
     MAMLAKA  ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA), imesema katika kipindi cha Uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imezuia utoaji wa tuzo za zabuni 43 zenye thamani ya sh milioni 586.5 kwa wazabini waliokosa iwezo wa kifedha na sifa za kitaalamu zinazohitajika kutekeleza zabuni husika.
    Mkurugenzi Mkuu wa PPAA,James Sando amesema hayo Leo na kuongeza kuwa hatua hiyo imezuia utekelezaji usioridhisha wa miradi ambao ungesababisha upotevu wa fedha za umma na kuchelewesha maendeleo mendelevium na stahiki kwa Wananchi.
    Amesema serikali inaamini kuwa usuluhishi wa migogoro hauwezi kufanikishwa katika mazingira ya ubaguzi Wala pale ambapo fursa na haki za kiuchumi na kiraia hazitokani kwa usawa.
    “Kwa hio hatua ya PPAA kuzuia utoaji wa tuzo kwa wazabini 43 waliokosa sifa za kutekeleza zabuni inaimarisha mchakato wa usuluhishi wa migogoro,” amesema.
    Ameongeza  kuwa Mamlaka imeendelea kutekeleza azma ya Serikali ya kuwawezesha vijana na makundi maalum kwa kutoa mafunzo ya kuwajengea uwezo vijana 878 katika mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam, Mwanza na Mbeya ili waweze kudai haki zao kwa ufanisi katika michakato ya ununuzi wa umma.
    Amesema mafunzo hayo yamelenga kuwaimarisha vijana ili washiriki kikamilifu katika zabuni za umma na kufahamu taratibu sahihi za kuwasilisha malalamiko au rufaa wanapokumbana na changamoto.
    Hatua hivyo  ametoa wito kwa wazabuni wote nchini pamoja na wadau wa ununuzi wa umma kujitokeza kushiriki mafunzo ya matumizi ya moduli ya kuwasilisha malalamiko na rufaa pindi Mamlaka inapoyatangaza.
    Amesema  mafunzo hayo yatawawezesha kuelewa kwa undani namna ya kutumia moduli hiyo kwa usahihi na ufanisi.
    Kadhalika amebainisha kuwa kupitia moduli ya kuwasilisha malalamiko na rufaa katika mfumo wa NeST, Mamlaka ya Rufani imeunganisha taasisi zote za ununuzi nchini, hatua inayomwezesha mzabuni kuwasilisha rufaa yake kwa njia ya kielektroniki katika taasisi husika.
    Aidha, Mamlaka ina uwezo wa kufuatilia na kuona nyaraka zote zinazotumika katika mchakato wa zabuni inayolalamikiwa, jambo linaloongeza uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika ununuzi wa umma.

You Might Also Like

Ridhiwani Aiagiza CMA Kushughulikia Migogoro Kwa Haraka, Ufanisi
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Hiari Upo Kwa Ajili ya Watanzania – Kabonaki
Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
OUT Yawapiga Msasa Watumishi Wa Mamlaka Za Serikali Za Mitaa
Shibuda: WanaMaswa jitokezeni kupiga kura bila woga
Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia Aacha Alama,Kuzindua Makao Makuu Ya Ulinzi Wa Taifa
Leave a Comment Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Advertise

  • Advertise with us
  • Newsletters
  • Deal
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account