MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Limeni mkonge unalipa – Maghali
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Limeni mkonge unalipa – Maghali
Habari

Limeni mkonge unalipa – Maghali

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: ZAO la mkonge lina fursa nyingi ikiwemo utengenezaji wa gypsum, mapambo ya nyumbani na sehemu nyingine.
Mkuu wa Sehemu ya Masoko na Uhamasishaji wa Bodi ya Mkonge Tanzania,  David Maghali  amesema hayo wakati wa maonesho ya wakulima, wafugaji na wavuvi yanaoendelea jijini Dodoma.
Amesema kutokana ukweli huo,wananchi wanapaswa kuchangamkia fursa hiyo kwa kulima zao la mkonge kwani maeneo ya kulima na masoko ni mengi.
Ameaema  kwa sasa wateja wa zao hilo ni nchi za Afrika Magharibi kama Nigeria,,Ghana,Morocco,Saud Arabia na Misri ambao hutumia kutengeneza bidhaa za ujenzi kama gypsum na mapambambo huku  Tanzania nayo ikiwa imeanza utumiaji wa teknolojia hiyo.
“Sekta ya mkonge ina fursa nyingi ambazo watu wanaweza kujiunga nazo,fursa namba moja ni wakulima kujiunga na kilimo cha mkonge ,mahitaji ya mkonge bado nni makubwa sana duniani lakini uzalishaji wake bado ni mdogo,
“Kwa kuwa sisi watanzania bado tuna maeneo ambayo hayatumiki kwa chochote wala hayana uzalishaji,tunawahimiza serikali kupitia Halmashauri kutenga maeneo kwa ajili ya kilimo cha mkonge ili kuinua wananchi wao kiuchumi lakini pia Bodi ya mkonge inaratibu masuala mbalimbali yahusuyo mkonge ,
“Kwa hiyo kwetu sisi mkonge siyo tatizo bali tunahitaji uratibu wa maeneo ya watanzania kufanya kilimo hiki,uwezo wa kufanya upatikanaji wa mashine kwa wakulima katika maeneo mwisho wa siku tutakuja kuratibu upatikanaji wa masoko aua uuzaji wa mkonge utakaokuwa umezalishwa,” amesema.
Kwa upande mwingine amesema zao hilo lina bei nzuri kwani kwa sasa tani moja ya mkonge inauzwa kwa sh milioni 3.9 wakati miaka mitano iliyopita iliuzwa kwa sh milioni 2.5 .
Amewahakikishia wakulima kuwa,zao hilo lina uhakika wa kuvuna na kuuza.

You Might Also Like

Waziri wa Vijana akutana na Mwita wa Zanzibar

Trump Kusitisha Sheria Za AGOA, Afrika Yapata Hasara

SOKO LA MADINI LA 43 LA ZINDULIWA TUNDURU RUVUMA.

BOT Yafungia Applications 69 Za Mikopo Mtandaoni

VIONGOZI WA DINI WAONYA: ‘TUMIENI BUSARA, LINDENI AMANI WAKATI WA UCHAGUZI’

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Baraza la uuguzi na ukunga lawakaribisha wenye malalamiko
Next Article TPHPA ina mchango mkubwa utoshelevu wa chakula – Profesa Ndunguru
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?