MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Sera mpya ya viwanda kuzinduliwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Sera mpya ya viwanda kuzinduliwa
Habari

Sera mpya ya viwanda kuzinduliwa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Lyatuu
Dar es Salaam: SERIKALI inatarajia kuzindua sera mpya ya Taifa ya  Biashara  yenye dhamira ya kuweka mfumo  na mkakati madhubuti unaolenga kuboresha mazingira ya biashara,kuongeza ukuaji wa kiuchumi na kuboresha ustawi wa wananchi.
Sera hiyo ni marejeo ya sera ya mwaka 2003 ambayo imefanyiwa marekebisho Ili iweze kuendana na mabadiliko ambayo yametokea katika nyanja mbalimbali kikanda na Kimataifa.
Waziri wa  Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo amesema hayo  Dar es Salaam na kuongeza kuwa Naibu Waziri Mkuu Dkt.Dotto Biteko atazindua sera hiyo kesho.
Amesema sera hiyo inaongozwa na kauli mbiu isemayo ushindani wa biashara katika kuchochea kasi ya mabadiliko ya kijamii na kiuchumi yanayoongozwa na viwanda.
Amesema hafla ya uzimduzi huo inajumuisha wadau mbalimbali wapatao 300 kutoka taasisi  za umma,taasisi Binafsi,mashirika ya dini,wabia wa maendeleo,mabalozi,vyama vya wafanyabiashara na wenye viwanda na wafanyabiashara.
Dk Jafo amesema sera hiyo itaimarisha, kuku,a na kuendeleza biashara ya ndani na nje,kuimarisha mtangano na ushiriki wa nchi katika biashara na nchi zingine rafiki za kikanda na Kimataifa.
Kwa upande wake Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya TradeMark Afrika,Elibariki Shami amesema ni sera itakayoleta uratibu  wa biashara baina  taasisi na taasisi

You Might Also Like

Timu Wizara Ya Nishati Zawasili Tayari Kwa Bonanza

Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA

Majaliwa Kufungua Maonesho Ya Madini Geita Leo

SGR Kipande Cha Saba Na Nane kuanza kujengwa

Rais Samia Awateua Tido Mhando, Machumu Na Nyalandu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TFRA yazindua Chama cha wafanyabiashara wa Mbolea
Next Article China yatoa elimu ya ujenzi kwa wanafunzi Baobab
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari January 9, 2026
Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Habari January 9, 2026
Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Habari January 8, 2026
TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Habari January 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?